Kaskazini ya Kenya yazidi kufunguka, maendeleo kote

Unafikiri sisi ni kama nyinyi maskini wa akili wa ujamaa
Ndugu yangu unanishangaza, nimetizama hiyo video nimesikitika, hao jamaa Northern Kenya hakika wanaishi kama mashetani,
Jamaa anadai ilichukua siku 2 polisi kufika eneo la tukio, duh hawa middle income vipi?
Yaani Tanzania inaunganishwa kwa lami mikoa YOTE na nchi zetu zote tulizopakana nazo UG, RW, KE, Zambia, Malawi, Zote hizo zimeunganishwa kwa paved roads miaka zaidi ya 10 iliyopita,
Leo 2017 ndio kwanza mnajengewa na WB hiyo Barabara bila aibu mnafungua Uzi.
Kenya ni nchi maskini mno,
Halafu masuala ya Usafiri wa Umma na Mizigo kwa njia zote mna mengi ya kujifunza kwetu,
Jifunzeni hata kwa makampuni ya mabasi ya Abiria yanayopiga routes za Nai-Dar, au Dar Msa
Kwa hiyo video You are poor guys, very poor.
 
Ndoto za mchana au bado umelala
Hata kwa hizo section za JF zingine hamna any projects ongoing. Wacha uongo babaa kazi yako ni kupinga tuu na kutokwa povu.
 
Kizungu ni shida kwako au kuelewa ndio hujaelewa ama ni wivu unakuzuia kuelewa taarifa?
 
Kizungu ni shida kwako au kuelewa ndio hujaelewa ama ni wivu unakuzuia kuelewa taarifa?
Kizungu kimetoka wapi tena wakati hapo nimeona watu wanasafiri kwa ngamia mkuu?
Kuna wazungu tena hapo?
 
Kizungu kimetoka wapi tena wakati hapo nimeona watu wanasafiri kwa ngamia mkuu?
Kuna wazungu tena hapo?
Wewe hukuweza kutofautisha nyakati ndani ya hiyo documentary ama wewe ni kiziwi?
 
Hiyo hiyo ndo naiongelea! Najua public participation imefanyika hadi December 2016. Sasa shida yenu ni kuwa, kwenye nchi za wengine tukiwa tunakamilisha taratibu za kifedha, nyie mnakuja hapa jf kubwatuka kuwa hakuna kitu. So kuanzia sasa wewe na wenzio mfunge midomo wakati na sisi tunashughulikia masuala ya kifedha, maana sasa mnaujua ukweli.

Kwamba kutoka june 2016 mpaka leo December 2017 bado zinafanyika tu taratibu za kifedha. Naelewa, ninachowaasa nyie wakenya muache hiyo tabia ya kujisifu wenzenu wakiwa wanafanya taratibu za kifedha, mradi huu umewaumbua mbwembwe zenu.

Mbaya zaidi, Mkenya mwenzio alidiriki kutuaminisha hapa jf kuwa mradi huo utakamilika December 2017 kupitia uzi wake huu, ambao alitoa taarifa hiyo kutoka kwenye gazeti la huko kwenu.
Proposed Lake Victoria Ringroad

Aibu yenu, ndo maana huwa tunawaambia mnapika data maana kila mtu ana taarifa zake!. Wewe unantaarifa zako, wakati huo huo Kenya national highway authority nao wana taarifa zao! Smh!!!!!!!
 
Haya mabarabara na mareli tulisha jenga na tunaendekea kijenga kwa nguvu zote, sasa ni wakati wa kujaza meli kwenye maziwa makuu, (Nyasa, Tanganyika na Victoria).
 
Wewe hukuweza kutofautisha nyakati ndani ya hiyo documentary ama wewe ni kiziwi?
Hiyo barabara mmezindua 2017 msee,
Tanzania kila wilaya imeungamishwa kwa barabara za lami miaka mingi iliyopita,
 
Hiyo barabara mmezindua 2017 msee,
Tanzania kila wilaya imeungamishwa kwa barabara za lami miaka mingi iliyopita,
Na bado mko LDC plus less GDP ?
Nothern kenya ikifunguka ndio mtaona vile GDP itapanda kwa speed kali.
 
Yaani nimetoa machozi kuona binadamu wanaishi maisha ya shida huku makaratasi yanawaeleza wao ni middle income country.
 
Kwa akili zako unadhani watu wote wana uwezo wa kupata hiyo $2 kwa siku?

Kaangalie upya tofauti ya kipato kati ya maskini na tajiri tz na ke af urudi hapa kubisha.
better,how?
watu chini ya 2$ a day mko 49per cent na kenya 33
 
Wewe acha zako, unasoma taarifa na pressure, hebu rudi ukaisome vizuri hio taarifa, Design ya hio Barbara ndo inakamilika Dec2017 , soma vizuri hapo nimehilight

Kwahivyo hio stori umjitungia mwenyewe na data zilizo akilini mwakobpekee.

Tofauti ya Wakenya na WaTz ni kwaba sisi hua hatupgi kelele nyingi kama project haijaanza,pale picha zikianza kutoka ndo tunaanza kelle za misifa, lakini watanzania huanza kujipiga kifua wakati project iko feasibility study, utaskia, 'hamtuwezi tena, tumewapiku,mtaisoma number" kwa mfano project kama SGR ya kwendakampala uganda,mmeogelea sana mpaka psychologically ni kama ujenzi ulisakamilika, by the time picha zinaanza kutoka za ujenzi wenyewe, inakua tulishaongelea kila kitu hamna la kusema, inabidi muanze kurudia yale mlishasema wakati siisi hatuna la kusemaanake tulishasema tuliotaka kusema.
 
si kejeli ila naomba unieleweshe potentuality au advantage iliyonayo kisumu kuliko mwanza ambapo hiyo project italeta difference kubwa hadi kuifanya kisumu kuwa business hub ya lake regions maana ukiingalia population na ukubwa wa jiji , sidhani kama kisumu inafika hata robo tatu ya mwanza , kingine mwanza inacontrol lake zone kwa upande wa Tanzania ambayo ina zaidi ya watu 15 m wakati kisumu ni kama mtoto wa nairobi ..

vipi ni bidhaa gani zimekuwa targeted kufika huku ambayo kumeonakana kuna demand na hakuna close substitute kwa bandari ya dar na tanga (ipo katika upanuzi) ????.....

kumbuka hata sgr ya Tanzania inatarget kufika mwanza mapema plus kama bandari ya Tanga ikipanuliwa kama inavyokadiriwa then ukanda wa kaskazini utarudi Tanzania kibandari....

bado kuna ujenzi wa international airport ambayo itaserve ukanda huu na kwa geographical advantage naona kama kisumu itapata tabu sana kuiondoa supremacy ya mwanza na kama huamini bhasi anza kuifuatilia mwanza maana hata ukuaji wake ni mzuri plus its contribution to national Gdp ni nzuri na ndio kubwa next to dar
 
Hii project yenu ambayo iko full funded na world Bank, ilikuwa ujenzi wake ukamilike December 2017,

Unaweza kutupa sababu za kina kwa nini Ujenzi huo hata haujaanza (achilia mbali kukamilika) na sasa unapelekwa mbele hadi Q4 2018?
Hahaha,mipovuu ya omo yarindima😀
 
A
hapa hakuna kupita kwa m7...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…