game over
JF-Expert Member
- Jan 1, 2016
- 10,727
- 24,840
Ndugu yangu unanishangaza, nimetizama hiyo video nimesikitika, hao jamaa Northern Kenya hakika wanaishi kama mashetani,Unafikiri sisi ni kama nyinyi maskini wa akili wa ujamaa
Jamaa anadai ilichukua siku 2 polisi kufika eneo la tukio, duh hawa middle income vipi?
Yaani Tanzania inaunganishwa kwa lami mikoa YOTE na nchi zetu zote tulizopakana nazo UG, RW, KE, Zambia, Malawi, Zote hizo zimeunganishwa kwa paved roads miaka zaidi ya 10 iliyopita,
Leo 2017 ndio kwanza mnajengewa na WB hiyo Barabara bila aibu mnafungua Uzi.
Kenya ni nchi maskini mno,
Halafu masuala ya Usafiri wa Umma na Mizigo kwa njia zote mna mengi ya kujifunza kwetu,
Jifunzeni hata kwa makampuni ya mabasi ya Abiria yanayopiga routes za Nai-Dar, au Dar Msa
Kwa hiyo video You are poor guys, very poor.