Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Ni kweli kwamba kuna maeneo mengine hapa kenya ni desert au semi-desert tena waoishi ko wametengwa kimaendeleo kwa miaka mingi sana.Ndugu yangu unanishangaza, nimetizama hiyo video nimesikitika, hao jamaa Northern Kenya hakika wanaishi kama mashetani,
Jamaa anadai ilichukua siku 2 polisi kufika eneo la tukio, duh hawa middle income vipi?
Yaani Tanzania inaunganishwa kwa lami mikoa YOTE na nchi zetu zote tulizopakana nazo UG, RW, KE, Zambia, Malawi, Zote hizo zimeunganishwa kwa paved roads miaka zaidi ya 10 iliyopita,
Leo 2017 ndio kwanza mnajengewa na WB hiyo Barabara bila aibu mnafungua Uzi.
Kenya ni nchi maskini mno,
Halafu masuala ya Usafiri wa Umma na Mizigo kwa njia zote mna mengi ya kujifunza kwetu,
Jifunzeni hata kwa makampuni ya mabasi ya Abiria yanayopiga routes za Nai-Dar, au Dar Msa
Kwa hiyo video You are poor guys, very poor.
Mbali na kua tulikua na uhusiano mdogo sana wa kibiashara na nchi nyingi za kaskazini na mashariki . Tz mlibahatika kuwa na majirani , Susi huku tuko horn of africa(S.Sudan,Ethiopia,Somali,djibouti,Sudan) wote kama hawako vitani,ni maskini,kama si maskini wamejifungia kibiashara...maeneo haya kame ndani ya Kenya yako na wakaazi wachache sana na wamesambaa kwahivyo ilikua vigumu kuleta project itakayofikia kila mtu, mbali na marginalisation, kwa mfano marsabit county ndo cunty kubwa zaidi hapa Kenya, ardhi yake ni 15% of Kenya lakini interms of population Marsabi iko miongoni mwa top 5 least populated counties ikiwa wakaazi 300,000.
Swali unafaa ujiulize ni imekuwaje kenya inaongoza kiuchumi ilhali 80% ya population inaishi ndani 30% of the landmass. Sasa vile tunafungua haya maene ambayo si watu wengi wanaishi, justimagin the potential boom in our GDP
Marsabit county
Kenya population density, look at north of Kenya haswaa marsabit and also east. Watu waoishi huku ni wachache, almost 60% of Kenya landmass is unoccupied kwasababu ya harsh environment and poor infrastructure, opening up this region could be game changing for the entire Kenya
View attachment 661841