Kaskazini ya Kenya yazidi kufunguka, maendeleo kote

Kaskazini ya Kenya yazidi kufunguka, maendeleo kote

Isiolo int'l airport, b4


KQ and Tz's Precision airways
No title(98).jpg
 
Tulifungua nyuzi nyingi sana za mambo makubwa yanayofanyika Kisumu, sema huoni wala husikii.
Kwanza Kisumu inakuja kuwapa ushindani mkubwa sana nyie wa Kolominje, itakua kitovu cha biashara ukanda huu.
SGR inatua hapo Kisumu ambapo kunajengwa bandari kubwa sana itakayo wanufaisha watu wa Mwanza, Kagera, Uganda, Rwanda, Burundi n.k.
I see....mmechoka na Nairobi sasa. Maana inazidi kuchakaa
 
Maendeleo Northern Kenya yanakuwasha sana, sadly you cannot do anything about it labda umeze wembe au sumu. Pole sana ndugu.
Lol! Haya ndio maendeleo? we mkenya unatia aibu kweli kweli! Sikuwezi ukapuku huu[emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
I see....mmechoka na Nairobi sasa. Maana inazidi kuchakaa

Poleni.... Tunajua, Dunia nzima inajua Darislum ni zaidi ya Yemen..... Mara Cholera, mara 70% ya wakaaji wanaishi kwenye slums,, Najua.... Maisha ni magumu....
 
Poleni.... Tunajua, Dunia nzima inajua Darislum ni zaidi ya Yemen..... Mara Cholera, mara 70% ya wakaaji wanaishi kwenye slums,, Najua.... Maisha ni magumu....
Povuuu
 
Jambo rahisi sana sijui mbona huelewi?
Atakaye fika wa kwanza L.Victoria kati ya KENYA na TANZANIA atakuwa na uwezo wa Control of Great lakes region kibiashara na usafirishaji. Mfano mzuri ni SGR ya Kenya phase 1 toka Mombasa hadi Nairobi ishakamilika(500km) inayobaki ni less than 400km ujenzi ukiendelea.

Tanzania nayo ndio SGR inasemekana ujenzi kuanza na ni zaidi ya kilimita 1100 bila hata bandari itakayotumika hapa ya Bagamoyo.

Je ndugu ukiwa mtu mkweli, ni Nchi gani itafika ya kwanza L. Victoria ukiangazia hayo hapo juu?
ok haina mbaya na Mungu asaidie maana other factors remain constant...
 
Hope ni rallying call yako binafsi mwenzangu. Kwani Kama ni jubilee Hawa sahau. Ni kesema na kuiba!!!


Uliko toa siasa haya zirudishe huko huko, mimi sikutaja siasa, nimeongea mambo ya maendeleo "254". Nadhani hiyo code ya "254" yawakilisha nchi ya Kenya sio jubilee wala nani.
 
Back
Top Bottom