Kasongo acha vitisho, Yanga hatujui kudanganya msimamo hatuchezi na Simba

Tutolewe na Biashara hahahs
Kwani ulijua kama coastal union atakubatua sikuile? Tena wanakati ambao mlikuwa na kauli mbiu ya kumaliza ligi bila kupoteza mchezo?

Yani mtakapopigwa au kudroo game hata moja ndo mtakapojua, maana nina uhakika Simba Sc atacheza na Azam FC akiwa na ubingwa mkononi, kwahiyo msishangae sikuhiyo Simba Sc akapigwa (kuwapa Azam pt 3)
 
Tupe matokeo ya waliyomalizana ....ngapi ngapi?
 
Uongozi wa Yanga umeshamruka huyo kilaza Bumbuli
 
Kama hamuwezi kucheza mpira kuna mambo mengine ya kufanya mfano kilimo cha matikiti maji
 
Utajibeba. Wenye ligi yao no tff ukae ukijua
 
Kweli kweli jamani ishi uone mengi imefikia kweli yanga kuwaogopa simba kwa namna hiyo.Hii ni kumbukumbu mbaya sana kupata kutokea ktk historia ya mpira Tz.Kuna misimu yanga waliwahi kuwa dhaifu kwa simba lkn hawakukubali kukimbia kizembe hv.Walipambana na wakati fulani wakashangaza.Leo hii wanatoa visingizio ambavyo hata kichaa anaona dhahiri ni woga wa kudhalilishwa.Hili ni doa mmeliweka .
 
Labda tuchrze na simba queen
 
Bumbuli katema ndoano tayari [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yanga nawaaminia kwa kufuata sheria.
Sheria ni kisingizio tu, sababu hasa ni kukimbia kichapo cha mbwa mwizi!! Nina uhakika yanga watakuwa radhi kufungwa na biashara kwenye kombe la FA ili mradi tu asikutane na simba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…