Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Kamuulize Karia.Matokeo ngapi ngapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kamuulize Karia.Matokeo ngapi ngapi
Msisahau na kuwasilimulia kuwa kiongozi wenu wenyewe (Rage) alisema Simba ni mbumbumbu watupu.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Simba hawakutokea muda uliopangwa wa mechi kuchezwa, kwahiyo sheria na kanuni zifuatwe yanga apewe point3
Kamuulize Karia.
Hili ni jina wazungu huwaita waafrika na wewe ukiwepo, ila hilo jingine ni la kwenu tu.Kwani kocha wenu luc aliwaita manyani, Uneducated