Kasongo acha vitisho, Yanga hatujui kudanganya msimamo hatuchezi na Simba

Kanuni ifuatwe sisi gemu tumecheza tarh 8 saa 11 jion nahuyu kaimu katibu mkuu wa yanga akae ofisin hatutak shobo atulize Mdomo wake
Kwani msimamo wa ligi wenyewe unasemaje?
P W L D GD Points
? ? ? ? ? ???????
 
Kuelekea tarehe 3,tutaona mengi kwa ndugu zetu utopolo kuuaibisha mchezo wa soka duniani kwa kumkimbia mara 2 mtani wake
Your browser is not able to display this video.
 
Yanga iogope timu ambayo haiiwezi Prisons? shida yetu ni kanuni tu zifuatwe.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Ninavyoelewa mimi, nipo tayari kusahihishwa mkuu, ni hivi hata nyinyi hamkufuata kanuni, ile mechi yenu haikuisha, kiutaratibu ilitakiwa refa awepo na vishika vibendera then mechi ianzishwe, baada ya hapo yaingie golini magoli matatu, hayo magoli matatu na point tatu hazitoki hewan mkuu, na kila goli mpira unaanzishwa kati, then refa anamaliza mpira.
 
Sheria ni kisingizio tu, sababu hasa ni kukimbia kichapo cha mbwa mwizi!! Nina uhakika yanga watakuwa radhi kufungwa na biashara kwenye kombe la FA ili mradi tu asikutane na simba!
Hakuna timu yenye viongozi wa hovyo kama Yanga
 
Yanga wanaogopa nini ? Waingie uwanjani wacheze bana. Kipigo ni jambo la kawaida🤣
 
Kwanza sijasema hii game haitechezwa ukizingatia kwetu Simba haina tofauti na Ihefu au KMC, ila kuhusu ile siku timu ilikuwepo kwa wakati, waamuzi ndio hawakuwepo, na kazi ya waamuzi kufika uwanjani siyo kazi ya Yanga.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Uongozi wenu ulithibitisha kupokea taarifa ya mabadiliko kutoka TFF, ila mkagoma kwenda kwa muda wa mabadiliko. Ni kwamba mligoma, msipotoshe watu, hii itawatafuna vizazi na vizazi, na wajukuu wetu tutawasimulia hili tukio lenu.
 
Uongozi wenu ulithibitisha kupokea taarifa ya mabadiliko kutoka TFF, ila mkagoma kwenda kwa muda wa mabadiliko. Ni kwamba mligoma, msipotoshe watu, hii itawatafuna vizazi na vizazi, na wajukuu wetu tutawasimulia hili tukio lenu.
Msisahau na kuwasilimulia kuwa kiongozi wenu wenyewe (Rage) alisema Simba ni mbumbumbu watupu.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
Hata nyinyi mliitwa nyani na kocha wenu, kwa hiyo haishangazi.
Ila kitendo cha kukimbia mechi hakitafutika katika kumbukumbu za soka
 
Simba hawakutokea muda uliopangwa wa mechi kuchezwa, kwahiyo sheria na kanuni zifuatwe yanga apewe point 3
Mnasema mlishacheza hiyo mechi, sasa ndio tunauliza matokeo. Maana hakuna mechi inayochezwa ikakosa matokeo
 
Ongeza kuwa mlikalia 4 kwa Keizer Chiefs

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Ahaaaaaa,kumbe ni kaizer,nilijua nyie mnaotafuta sababu za kutukimbia kila siku,na ndio maana tunawatamani tuwaonyeshe kwa nini sisi tuliingia robo fainali ya klabu bingwa Afrikaaaa,hahaaaaaaaaaaa utopolo mnatia aibu mno aiseeeee
 
chaka la tff na karia la kujichifia hawawezi kuliacha ila ukweli ni kwamba utopolo wako very disorganised nitashangaa ukiniambia kule kuna wasomi kabisa they are useless
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…