Kasongo series

Kasongo series

Weka picha zao nione tofauti zao
Screenshot_20241108-132003_Chrome~2.jpg
images (11).jpeg
 
Kuna video yale jamaa anakimbizwa na simba wawil wamemtege mmoja mbele mmoja nyuma, jamaa alikimbia mpaka akamkuta simba wa mbele na yeye akampita wote akawa kawaacha nyuma halaf akaingia kwenye shimo kinyume nyume. Inachekesha sana
Kwenye hii clicp jamaa kaua winga zoote yan 😂😂😂😂😂😂 Mshana Jr
 
View attachment 3148861
Sudden Reverse and breaking at that speed.. Hata SIMBA wenyewe walibaki na mshangao🤣🤣🤣
 
Sudden Reverse and breaking at that speed.. Hata SIMBA wenyewe walibaki na mshangao🤣🤣🤣
Huwa nacheka sana every time naiangalia hii clip.
Huyu jamaa ninkama ulivyosema hapo huu , "endapo this was the only prey in the jungle, simbas would starve to death" 😂😂😂
 
I asked Meta AI why warthog was not Crowned king of the jungle and here is what it says 🤣🤣🤣
IT'S THE LAST PART FOR ME 🤣🤣🤣

Here are some humorous reasons why the warthog might not have been crowned king of the jungle:

1. Lack of majestic mane: Warthogs' hairdos aren't quite as regal as lions'.

2. Tusk-tally unsuitable: Warthogs' tusks, though impressive, aren't fit for a crown.

3. Burrowing habits: Warthogs dig, but kings typically rule from thrones.

4. Speed demon: Warthogs are fast, but kings usually prioritize wisdom over pace.

5. No royal roar: Warthogs grunt, snort, and squeal, but lack the mighty lion's roar.

Or maybe...

The warthog simply didn't want the job! Perhaps they're happy with their carefree, mud-loving life
FB_IMG_1731657560933.jpg
style.

🤣🤣🤣🤣
 
From today I will use drone to follow this animal called kasongo ,,I almost fainted following him while I was making video for you😌😌
FB_IMG_1731994276978.jpg
 
Kuna video yale jamaa anakimbizwa na simba wawil wamemtege mmoja mbele mmoja nyuma, jamaa alikimbia mpaka akamkuta simba wa mbele na yeye akampita wote akawa kawaacha nyuma halaf akaingia kwenye shimo kinyume nyume. Inachekesha sana
Kwenye hii clicp jamaa kaua winga zoote yan 😂😂😂😂😂😂 Mshana Jr
View attachment 3148861
Hivi haya mashimo huwa wanayachimba wenyewe, na huwa wanaishi humo??
 
images (68).jpeg

The Icon Of Speed CHEETAH
Huyu haitaji kiki acceleration yake sawa na magari ya mashindano ya formula C
 
View attachment 3163738

The Icon Of Speed CHEETAH
Huyu haitaji kiki acceleration yake sawa na magari ya mashindano ya formula C
Tofauti ya huyu na kasongo, huyu anaspeed kubwa lakini short distance. Yule bwana hadi predator akate tamaa. Kikubwa zaid bwana kasongo, akiwa kwenye full speed anaweza akapiga reverse na gear zikakubali
 
ndo tofauti warthog top speed yake 70km/h ila cheetah top speed 130km/h na acceleration yake kutoka 0 hadi 130km/h ndani ya sekunde tu,

warthog anaweza ku maintain speed yake muda mrefu ila cheetah anachoka haraka
 
Maana ya wimbo wa kasongo

Wimbo huo haukuwa kuhusu aina hii ya wanyama wanaoitwa ngiri lakini inafurahisha kuona vitendo vya kuchekesha vya 🤣 vya nguruwe pori
FB_IMG_1733171902148.jpg
vinaendana na wimbo Kasongo.

Msanii anaitwa Supper Mazembe kutoka DR Congo 🇨🇩, na wimbo unamhusu mwanaume mmoja aitwaye Kasongo, ambaye alitelekeza familia yake kwa wanawake wengine nje.
Sasa mke wake anamwomba arudi kwa familia yake kulea watoto wake. Hiyo ndiyo kimsingi wimbo unasema. Unaweza kuipakua kwenye YouTube ▶️.

Lugha ya Lingala.
 
Wanasayansi walipokuwa wakipanga sifa za wanyama mbalimbali , ngiri alikuwa kwenye mashimo yake kwa hiyo waliishia kuwapa mataji wanyama wasio na sifa.

Ufalme wa msituni ulienda kwa simba

Umahiri wa kasi zaidi ukaenda kwa duma ...lakini sifa zote mbili ni za ngiri... Sifa ya tatu ya ngiri ni la maegesho ya kinyumenyume.

Jamaa anaweza kurudi nyuma hadi kwenye shimo katikati ya mwendo wa kasi wa kukimbizwa kutoka sifuri ni kama gari la mashindano ya mbio na breki ni za papo hapo..

Ni wakati sasa wa kumtawaza bingwa mpya wao mwituni na nyikani kwa haki zote.. ikiwa duma anaweza kumfukuza ngiri na kushindwa kumkamata basi tunaye bingwa mpya, injini ya V16 bi-turbo 6.5L AMG.
View attachment 3143802
Mbona WEWOOOO?
 
Back
Top Bottom