Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Weka picha zao nione tofauti zaoWild boar (nguruwe pori)
Warthog (ngiri)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka picha zao nione tofauti zaoWild boar (nguruwe pori)
Warthog (ngiri)
Sudden Reverse and breaking at that speed.. Hata SIMBA wenyewe walibaki na mshangao🤣🤣🤣Kuna video yale jamaa anakimbizwa na simba wawil wamemtege mmoja mbele mmoja nyuma, jamaa alikimbia mpaka akamkuta simba wa mbele na yeye akampita wote akawa kawaacha nyuma halaf akaingia kwenye shimo kinyume nyume. Inachekesha sana
Kwenye hii clicp jamaa kaua winga zoote yan 😂😂😂😂😂😂 Mshana Jr
View attachment 3148861
Huwa nacheka sana every time naiangalia hii clip.Sudden Reverse and breaking at that speed.. Hata SIMBA wenyewe walibaki na mshangao🤣🤣🤣
Hivi haya mashimo huwa wanayachimba wenyewe, na huwa wanaishi humo??Kuna video yale jamaa anakimbizwa na simba wawil wamemtege mmoja mbele mmoja nyuma, jamaa alikimbia mpaka akamkuta simba wa mbele na yeye akampita wote akawa kawaacha nyuma halaf akaingia kwenye shimo kinyume nyume. Inachekesha sana
Kwenye hii clicp jamaa kaua winga zoote yan 😂😂😂😂😂😂 Mshana Jr
View attachment 3148861
Hiyo breki ya na reverse anayopiga ni hatari 😂😂..Ni ujenzi wao wenyewe
Tofauti ya huyu na kasongo, huyu anaspeed kubwa lakini short distance. Yule bwana hadi predator akate tamaa. Kikubwa zaid bwana kasongo, akiwa kwenye full speed anaweza akapiga reverse na gear zikakubaliView attachment 3163738
The Icon Of Speed CHEETAH
Huyu haitaji kiki acceleration yake sawa na magari ya mashindano ya formula C
ndo tofauti warthog top speed yake 70km/h ila cheetah top speed 130km/h na acceleration yake kutoka 0 hadi 130km/h ndani ya sekunde tu,Tofauti ya huyu na kasongo, huyu anaspeed kubwa lakini short distance. Yule bwana hadi predator akate tamaa. Kikubwa zaid bwana kasongo, akiwa kwenye full speed anaweza akapiga reverse na gear zikakubali
Mbona WEWOOOO?Wanasayansi walipokuwa wakipanga sifa za wanyama mbalimbali , ngiri alikuwa kwenye mashimo yake kwa hiyo waliishia kuwapa mataji wanyama wasio na sifa.
Ufalme wa msituni ulienda kwa simba
Umahiri wa kasi zaidi ukaenda kwa duma ...lakini sifa zote mbili ni za ngiri... Sifa ya tatu ya ngiri ni la maegesho ya kinyumenyume.
Jamaa anaweza kurudi nyuma hadi kwenye shimo katikati ya mwendo wa kasi wa kukimbizwa kutoka sifuri ni kama gari la mashindano ya mbio na breki ni za papo hapo..
Ni wakati sasa wa kumtawaza bingwa mpya wao mwituni na nyikani kwa haki zote.. ikiwa duma anaweza kumfukuza ngiri na kushindwa kumkamata basi tunaye bingwa mpya, injini ya V16 bi-turbo 6.5L AMG.
View attachment 3143802Bei Facebook anmelden
Melde dich bei Facebook an, um dich mit deinen Freunden, deiner Familie und Personen, die du kennst, zu verbinden und Inhalte zu teilen.www.facebook.com