Kasri la Malkia Elizabeth limeanza kujiandaa na kifo cha Prince Philip

Conspiracists at his very best
 

Kidogo ingefanana na hii
 
miaka 99 mingi sana hata mtu hawez fight for his life hapo akiwa mahututi
Yule mzee ana miaka 99 inamaana kazaliwa mwaka 1922,leo baba wa taifa JK Nyerere angekuwepo wangekuwa umri mmoja wenzake age mate ya uyo mzee wengi walishakufa kwa hapa bongo ndo kama wakina Gen Msuguli anamiaka 101..uyo Prince mtoto wake wa kwanza kampata mwaka 1947 prince Charls now ana miaka 74 yani mtoto mzee baba mzee mama pia mzee yani dah ela bhana royal family wana enjoy sana....
 
Shukran kwa elimu
 
Dah yan kila nilivyokuwa nasoma bas ndo nikawa najaa na kitu rohoni nlitaka niandike bonge la quote baada ya kumaliza kusoma.

Sema nlivyokutana na neno "ni nadharia tu basimebidi niwe mpole'
 
Huwa nawaza tu kwamba karne zijazo Science ya genetics ya mwili wa mwanadamu inaweza kufikia pahala mwanadamu mzee kupewa dawa ambayo inaweza ku- stimulate body tissues zote zikaanza kufanya kazi tena kama alivyokuwa na 25yrs.

Hii itafanya binadamu kuishi miaka mingi kama walivyoishi kina Yakob, Isaka, Mussa - zaidi miaka 200 hadi 300+
 
Tutakua wengi sana duniani na resources hazita tosha. Fikiria essential things kama maji, hewa na chakula.
 
Afu nasikia kama ukiondoka na walau kijiko tu toka kasri hilo la kifalme basi ukirudi bongo we doni wa kutupwa - niulize why - hadi vijiko ni almasi tupu !!
 
Tutakua wengi sana duniani na resources hazita tosha. Fikiria essential things kama maji, hewa na chakula.
Atuwezi kutosha dunia ikiwa na watu BILION 20 tuu miti yote itaisha...
 
Afu nasikia kama ukiondoka na walau kijiko tu toka kasri hilo la kifalme basi ukirudi bongo we doni wa kutupwa - niulize why - hadi vijiko ni almasi tupu !!
Kuna habari kuwa Mwalimu alipokua anadai Uhuru alikaribishwa chai kwenye Kasri hilo.

Sinia , bakuli la sukari, kikombe cha maziwa na vijiko vilikua vya dhahabu. Walimwambia hii ni dhahabu ya Tanganyika. Walimpandisha hasira lakini hawakujua. Baada ya uhuru ndipo alipokataa uchimbaji wa madini.
 
Tutakua wengi sana duniani na resources0 hazita tosha. Fikiria essential things kama maji, hewa na chakula.
kwa hiyo recycling aliyoiumba Mungu Ipo sawa kwamba after 70 yrs unakuwa kwenye list of favourites !!

Point yako ni sawa na ndiyo maana wanasayansi nguli wanahaha kutafuta uwezekano wa wengine kwenda kuishi sayari ya Mars !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…