Kassim Majaliwa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2025

Hujafa hujaumbika na utu uzima ni dawa,
Naamini nawewe ipo siku utakuja kuwadaganya watoto wako kuwa baba/mama yenu anaendelea vizuri kumbe ameshakufa.

Alichokifanya PM ndo kifanywacho katika maisha yetu ya kila siku juu ya taarifa nzito kama magonjwa na kifo.

Maoni yangu; Majaliwa ndo mwanasiasa pekee wa sasa anaeweza kutufikisha mahali flani kama taifa lililopoteza direction.
 
Tangu awe waziri mkuu amefanya kitu gani cha maana. Hat Jpm alimwambia angemtandika yeye na shangazi zake.🤣🤣
 
Ndege wafananao ndio maana walikuwa pamoja na "Mtu Yule"
 
na aliposema walioangalia Mazishi ya mwendazake kupitia LIVE wafikia Bilioni 6 Duniani kote
huyo bure kabisa acheni twende na Mama tutamuongezea km Magufuli walivyotaka atawale kabisa, God akakataa
Ni makosa ya kisiasa tu hayatoi uhalisia kwamba ni Bora .
 
Kwa mila na desturi za Nchi yetu, labda Majaliwa ashike kuanzia 2025 hadi 2030, kwani 2030 Rais ni lazima atoke Vatican.
Daaa ni utaaratibu mzuri ila PM alifaa sana
 
Kumbe walikuwa kwenye eneo la hifadhi eeeh... nenda kafugie tena mifugo kule hlf uone kama kuna mtu qtakuchekea... nilidhani unbetoa homa genuine za mtu kuonewa bila sababu kumbe hao wahalifu na waharibifu wa mazingira
 
Rais wa nchi gani? Labda wa jamiiforums! Yaani mtadanganywa kupita kiasi, maana jamaa ni muongo wa kupindukia. Na ninyi watanzania kwa kusahau? Yaani mmeshasahau alivyosema Magufuli ni haumwi ana rundo la mafaili wakati keshafariki au hamkumbuki alivyosema kuwa mazishi ya Magufuli yameangaliwa mtandaoni na watu Billioni 3 halafu kesho yake akasema wataongezeka wafikie Billioni 4? Hapo kweli Majaliwa
 
Utamaduni uvunjwe. Majaliwa awe Rais. Tena 2025. Mama asituharibie. Amekuwa makamu wa Rais kwa miaka 5 na Rais kwa miaka 4. Inatosha. Apumzike 2025. Amwachie kijana mwingine kutoka kusini, Bw. Kassim Majaliwa. Anaweza akaimarisha Uchumi kama Mkapa. Kuna wakati Tz iliipita Kenya kwa ukubwa wa uchumi wakati wa Mkapa.
 
Hatuwezi kuachia tena nchi iongozwe na waswahili
 
Bwana DNA/RNA okay, baada ya miaka kumi hivi tutamfikiria kweni hata uwaziri mkuu utakuwa umeshamponyoka tutaona. Nchi hii na CCM yetu tuna viongozi wengi hatuna shida ya candidates wa Urais. Ila kosa lililopita halitarudiwa.
 


Rais wa chama cha kokoto....?
 
Waziri mkuu muongo mno kuwahi kutokea, viwanda 4000 vya Magufuli kwanza, viko wapi. Kizazi cha hovyo acheni kuongozwa na njaa.

Nani wa kuulizwa viwanda 4000 kati ya aliyekuwa waziri mkuu na kwa sasa ni waziri mkuu bado au aliyekuwaga makamu wa rais na sasa ni rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…