Kassim Majaliwa enzi za Magufuli alikuwa akiogopwa kama radi, wa sasa anapuyanga tu

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Hivi ndivyo ninavyoweza kusema, naona unapiga makelele tu na impact ni sufuri bin sufuri.

Lugha rahisi ninavyoweza kutumia ni kwamba unapuyanga tu, watendaji wa serikali hawakuogopi hata kidogo.

Kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa Maji, tatizo ni serikali unayoisimamia haina makucha hata kidogo ndo maana watu wanaendelea kupiga tu.

Kasim Majaliwa wa Magufuli siyo wa Samia, Kasim Majaliwa wa Magufuli alikuwa naogopwa kama RADI.

Watendaji walikuwa hawalali siku mbili mfululizo kabla ya ujio wako walikesha wakiandaa makablasha na kuweka taarifa sawa.

Nikiwa simiyu mwaka 2016 mkurugenzi wa wilaya ya maswa Trasias Kagenzi alikufa Kwa presha siku moja kabla hujafika wilayani hapo.

Enzi hizo defender zilikuwa tayari kubeba watuhumiwa baada ya kikao mda huo hizo, Leo hii nashangaa unawapa watu mda waandae taarifa za uongo na kujipanga.

Ulikuwa unaheshimika sana na nidhamu ilikuwepo Katika matumizi ya Mali za umma. Inakuwaje Leo takukuru hawaoni ufisadi hadi waambiwe?

Mama Samia anakuchoresha tu lakini unachofanya sasa ni kazi bure kwani yeye mwenyewe kakumbatia mafisadi.

Haya muheshimiwa endelee kupuyanga ila hatuachi kuiba huna meno wala effect.
 
CCMya miaka 60 mpaka sasa

IMG_0264.jpg
 
Wewe ni MWIZI
 
Aiseee kuna ujenzi wa daraja somewhere nimetia nadhiri naenda kuiba nondo MM16 ata roller 20 maana zimekaa kizembe, waheshimiwa wa juu wanaiba parefu sana bora nasisi pia tujipooze japo kidogo wote tuwe wezi. mama samia mwizi raia mwizi
 
Back
Top Bottom