Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana maana yoyote acha wang'oe bora apewe hata mzee MkuchikaWana mtafuta kwenye angle .
Bunge rubber stamp la vibajaji na sukumagu halina ubavu wa kuhoji hayo madudu.PM anaingizwa chaka baya bila kujua. Ameulizwa general question, na alipaswa kama mtendaji mkuu wa serikali, kupress for more specific details, na wala siyo kuhangaika haraka kuwasilisha maelezo mengi kwa lengo tu la kuwapooza Watanzania.
Hoja ya msingi: ^Kontena zileeeeeee zinaenda tena^
PM angeomba ushahidi specific na kuahidi kufuatilia. Suala la madini ni nyeti sana na limetugharimu mengi huko nyuma na hata wakati wa kurekebisha sheria za madini. Pia linamendewa usiku kucha na wapigaji wa ndani na nje ya nchi. So, halipaswi kujibiwa na kupita kijuujuu tu hivi.
PM zile nguvu zako za weledi na uzalendo halisi ziko wapi!??? Ama ziliishia ileeee tarehe 17 Machi 2021!??? Nawe umekuwa kama Bi Mkubwa na Dkt Plan wake ambao wamewekeza vipaumbele vyao kwenye empty hotuba tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!???
Wacha BWANA!!!!!!Hatari sana Mwana wa kwetu.
PM jiandae kuachia ngazi tu hakuna namna.
Tunayo yajua ni zaidi ya hilo jibu.
Halafu hajui hapa hapa kuna watanzania plant metallurgists....anatuchukulia laymen wote.
Kwenye hili la kusafirisha mchanga bila kujua kilichomo, take it from me, tunaendelea kupigwa!.Amesema makontena hayo yanasafirishwa chini ya utaratibu maalum ambao umewekwa na Serikali kupitia kampuni ya umma ya madini ya Twiga kwa kushirikiana na wachimbaji wakubwa wa madini.
Waziri Mkuu amesema kinachofanywa sasa na serikali kwa kilichopo ndani ya makontena hayo kukaguliwa na kupimwa kisha serikali kulipwa inachotakiwa kupata na baada ya hapo wahusika wa makontena hayo yenye makinikia kupewa nyaraka za kuwadhibitisha ambazo hutakiwa kuzionyesha mara zinapohitajika.
Chanzo: ITV
kwahiyo huyu ndo yule mzalendo anayepigiwa makofi kule fb baada la kuwasimamisha watumishi wa wizara ya fedha,kwamba ndo anamuenzi mwendazake
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania kuhusiana na kuwepo kwa makontena yenye makinikia ambayo yameonekana yakisafirishwa kwenda nje ya nchi kuwa makontena hayo yanasafirishwa kihalali.
Waziri Mkuu amesema hayo bungeni Mkoani Dodoma wakati akijibu maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu kitendo ambacho hufanyika kila siku ya alhamisi iwapo waziri mkuu anakuwepo bungeni.
Amesema makontena hayo yanasafirishwa chini ya utaratibu maalum ambao umewekwa na Serikali kupitia kampuni ya umma ya madini ya Twiga kwa kushirikiana na wachimbaji wakubwa wa madini.
Waziri Mkuu amesema kinachofanywa sasa na serikali kwa kilichopo ndani ya makontena hayo kukaguliwa na kupimwa kisha serikali kulipwa inachotakiwa kupata na baada ya hapo wahusika wa makontena hayo yenye makinikia kupewa nyaraka za kuwadhibitisha ambazo hutakiwa kuzionyesha mara zinapohitajika.
Mwaka 2017 hadi mwaka 2018 Serikali tume maalum ya kuchunguza jinsi ambavyo Tanzania inavyonufaika au la na Sekta ya madini ambapo ilibainika uwa sekta hiyo imegubikwa na udanganyifu.
Chanzo: ITV
Nani alimkataa, huyo aliye jitoa muhanga?! Au unamzungumzia ‘ziraili’!?Kubalini majibu hayo si mmekataa rais aliyejitoa mhanga kutetea maslahi yenu
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
wale wanaomwombea marehemu naona anavyoteseka kule aliko kwa hii taarifa ya waziri mkubwaLisu na genge lake wataumia sana kwa taarifa hii
Halafu shida ni kwamba udongo wa Shinyanga hauna tu dhahabu kuna madini mengine(maana pale Bulyanhulu a.k.a Twiga ndo mabingwa wa kusafirisha makinikia), kama copper. Sasa yeye hata basics za chemical engineering anazo kutoa majibu ya harakaharaka hata bila kuwashirikisha wataalam?Huyu Majaliwa kisha zoea kutulisha matango pori haaminiki!! Jiwe alituaminisha kuwa ili kujua nini kimo kwenye makinikia ni lazima yapitishwe kwenye SMELTER ndio utayajua madini engine yaliyomo zaidi ya dhahabu!! Sasa yeye kutuambia kuwa makinikia yanapimwa na kujua composition ya madini mengine huo ni utaalam tofauti na ule wa jiwe?
Moja ya sababu ya JIWE kuweka condition ya kuwa SMELTER lazima ijengwe nchini, ilikuwa ni kuweza kuthibiti wizi huo wa madini ambao Majaliwa anatuambia umehalalishwa sasa!!!
tumeanza kupigwa tukae mkao wa kulia.
Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania kuhusiana na kuwepo kwa makontena yenye makinikia ambayo yameonekana yakisafirishwa kwenda nje ya nchi kuwa makontena hayo yanasafirishwa kihalali.
Waziri Mkuu amesema hayo bungeni Mkoani Dodoma wakati akijibu maswali ya papo kwa hapo kwa Waziri Mkuu kitendo ambacho hufanyika kila siku ya alhamisi iwapo waziri mkuu anakuwepo bungeni.
Amesema makontena hayo yanasafirishwa chini ya utaratibu maalum ambao umewekwa na Serikali kupitia kampuni ya umma ya madini ya Twiga kwa kushirikiana na wachimbaji wakubwa wa madini.
Waziri Mkuu amesema kinachofanywa sasa na serikali kwa kilichopo ndani ya makontena hayo kukaguliwa na kupimwa kisha serikali kulipwa inachotakiwa kupata na baada ya hapo wahusika wa makontena hayo yenye makinikia kupewa nyaraka za kuwadhibitisha ambazo hutakiwa kuzionyesha mara zinapohitajika.
Mwaka 2017 hadi mwaka 2018 Serikali tume maalum ya kuchunguza jinsi ambavyo Tanzania inavyonufaika au la na Sekta ya madini ambapo ilibainika uwa sekta hiyo imegubikwa na udanganyifu.
Chanzo: ITV
Hakuna cha ajabu,makinikia hata Yale ya mwanzo yalishaondoka na hatuambiwi lini,yalipelekwa wapi,faida tuliyopata hadi sasa na pia smelters zipo wapi?Hivi sasa tunapeleka mchanga ghafi,vipi tumetosheka na ajira?

nimependa mstari wa mwisho,jioni yangu itakuwa njema sana kwa kizungu wanasema you made my evening 😀 ....thanks Jasmoni TeggaPM anaingizwa chaka baya bila kujua. Ameulizwa general question, na alipaswa kama mtendaji mkuu wa serikali, kupress for more specific details, na wala siyo kuhangaika haraka kuwasilisha maelezo mengi kwa lengo tu la kuwapooza Watanzania.
Hoja ya msingi: ^Kontena zileeeeeee zinaenda tena^
PM angeomba ushahidi specific na kuahidi kufuatilia. Suala la madini ni nyeti sana na limetugharimu mengi huko nyuma na hata wakati wa kurekebisha sheria za madini. Pia linamendewa usiku kucha na wapigaji wa ndani na nje ya nchi. So, halipaswi kujibiwa na kupita kijuujuu tu hivi.
PM zile nguvu zako za weledi na uzalendo halisi ziko wapi!??? Ama ziliishia ileeee tarehe 17 Machi 2021!??? Nawe umekuwa kama Bi Mkubwa na Dkt Plan wake ambao wamewekeza vipaumbele vyao kwenye empty hotuba tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!???
Huyu Majaliwa kisha zoea kutulisha matango pori haaminiki!! Jiwe alituaminisha kuwa ili kujua nini kimo kwenye makinikia ni lazima yapitishwe kwenye SMELTER ndio utayajua madini mengine yaliyomo zaidi ya dhahabu!! Sasa yeye kutuambia kuwa makinikia yanapimwa na kujua composition ya madini mengine huo ni utaalam tofauti na ule wa jiwe?
Moja ya sababu ya JIWE kuweka condition ya kuwa SMELTER lazima ijengwe nchini, ilikuwa ni kuweza kuthibiti wizi huo wa madini ambao Majaliwa anatuambia umehalalishwa sasa!!!
Hata ‘gawiwo’ la hasara ya ma-bombardier, tulipewa pia!Mbona mwaka Jana tulipewa gawiwo la makinikia au mnajisahaulisha!?
Mkuu yalikua maneno tu ya mwendazake , Sasa kiko wapiSi mlitamka kuwa itachenjuliwa hapahapa. Au tulisikia vibaya.