Kassim Majaliwa: Makontena ya Makinikia yanayosafirishwa nje ya nchi ni halali

😂😂😂 Kile kiwanda cha ku smelt cha mwenda zake kimeishia wapi?
 
Kwani hizo Kontena zimeanza kwenda nje lini? Baada ya 17/03/2021 au kabla?
Wakati wa Mwendazakr zilikuwa haziendi?

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 

Kelele nyingiii za mwendazake kumbe ilikuwa kazi bure. Mara oooh kila.kontena lina dhahabu tani moja mara oooh kuna silver, tungsten sijui na cobalt ......mara tuta smelt wenyewe hakuna tena kusafirisha makinikia kumbe zilikuwa chai tu
 
Smelter mliosema itajengwa nchini iko wapi ? Tilioni zetu 425 za Kodi TRA ziko wapi ? . Mngekuwa mnalipwa hizo hela si mngeshasema siku nyingi maana kwa kupenda sifa hii serikali haijambo .
 
Smelter mliosema itajengwa nchini iko wapi ? Tilioni zetu 425 za Kodi TRA ziko wapi ? . Mngekuwa mnalipwa hizo hela si mngeshasema siku nyingi maana kwa kupenda sifa hii serikali haijambo .
Inajengwa Kahama na mkataba ulishasainiwa January 2021
 
True.

Ila makinikia Siku zote yamekuwa yakisafirishwa. Hata wakati wa Mwendazake.... Isipokuwa kile kipindi kidogo cha mgogoro na Mabeberu.
Mmh. C&F gani inatumika? Maana FFT ndo hiyo ilikuwa cash cow yao. Lkn baada ya hiyo ishu kuwa nzito...niliona biashara zao slow. Na nasikia bado wapo Bulyanhulu...
 
TANGU ATOE MAJIBU KULE NJOMBE TENA MSIKITINI HUWA SIMUAMINI TENA.
KWANI HAJAWAHI KUKANUSHA ALICHOSEMA.

BEI GANI TUMESHAPATA KUPITIA HUO UDONGO UNAOBEBWA
 
Kwa lolote akiongea PM Mimi lazima nimwamini,I believe in him.
Go PM
 
Jamani nchi Sasa imefunguliwa,
 
Maswali muhimu ambayo majibu yake yataweka mambo sawa vichwani mwa wenye akili;

1. Usafirishaji wa makinikia uliruhusiwa lini tena baada ya kuzuiwa kwa madai ya udanganyifu?
2. Nini tofauti ya bei ya sasa na ile ya zamani?
 
Weka hapa hilo unalolijua maana kama ni kusafirishwa yameanzwa kusafirishwa toka wakati wa Magu, japo ilikuwa haitangazwi ili kuhadaa umma kuwa yamedhibitiwa, na vyombo vya habari viliogopa kutangaza, kwani dhalimu angeweza kuvifungia.
Hadi were ulikuwa umezuiliwa kuripot?

Kuhusu PM nabakiza maneno ili kulinda hadhi yake.
 
Hadi were ulikuwa umezuiliwa kuripot?

Kuhusu PM nabakiza maneno ili kulinda hadhi yake.

Tumesema sana hapa jukwaani wakati wa dhalimu kuwa makinikia yaliyokamatwa yalishaondoka, na yanaendelea kwenda nje. Na ushahidi wa tulivyosema umo humu humu jukwaani. Unabakiza maneno ili kulinda heshima ya PM, kuna jizi lolote la kura lenye heshima?
 
Ulitaka akujibu nini kwakirefu wakati ushaambiwa maswali ni ya hapo kwa papo.Ukitaka majibu ya kina nenda ofisi ya waziri mkuu na ofisi inayoshughulika na hayo madini utapata majibu ya kina.
 
Hivi si walisema watajenga kinu cha kuchenjua hayo mamichanga?

Bongo kweli nyoso
 
Acha kupotosha watu wewe Mbweha uliekengeuka na kukosa busara. Twiga minerals ilipoundwa ndio habari ya kusafirisha makinikia ikaanza kupata baraka.
 
Utaratibu wa kusafirisha makinikia haujawa kubadilika tangu ensi za Mkapa. Mwendazake alikuja na mbwembwe nyingi za kutafuta simple popularity kutoka kwa wajinga.

Mineral concentrates zinafirishwa toka Duniani kote, yeye akaja kuwadanganya Watanzania wajinga kuwa tunaibiwa, na kuwa makonteina yale 90% ni dhahabu tupu. Wajinga wakamshangilia kutokana ja ujinga bila ya kujiuliza, utabebaji container 20ft container load lenye 90% gold, ni lorry gani litakuwa na uwezo (gold has SG 19.30) - wakabaki wanakenua meno kuwa eti wamepata mkombozi ilihali ile report nzima ya Mruma na Uroso zilikuwa good for the fools.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…