Kassim Majaliwa on Instagram...

Kassim Majaliwa on Instagram...

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Waziri Mkuu kassim majaliwa, amejiunga rasmi kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram , ambapo hadi sasa ana wafuasi zaidi elfu kumi na tano na kitu huku akiwa amewafollow viongozi wawili tu , Mh raisi samia suluhu, pamoja na raisi wa Zanzibar, Dr. Hussein Ali mwinyi.

Sasa Jaman kwenda kumfollow Mh raisi Samia na Dr. Hussein Ali mwinyi Ndo maana yake nini ?, halafu wote wazanzibar, yani mshaanza ubaguzi mapema yote hii Jaman . Yaani viongozi wote waliopo nchini ndo umewaona wa kuwafollow ni hao tu wawili au ? Mi sijapenda kabisa kwa kweli .mnaanza kutubagua mapema hivi .

Kama mmeamua kuhamia zanzibar mtuambie na sisi tutafute raisi wetu mwingine


IMG_2131.jpg
 
Mjuba amefollow Watu Wa2 Tu, Rais Sasha na Rais Mwinyi, Hata Mkewake Hajamfollow au Hayuko Insta, Hata Makamu Wa Rais Dr. Mpango Hajamfollow au Na Yeye Hana Account Ya Insta [emoji1][emoji1][emoji1]
 
Huyu si alieongea n meko akatuambia yuko ofisini anapiga kazi,kumbe meko yuko mawinguni
 
Back
Top Bottom