warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Waziri Mkuu kassim majaliwa, amejiunga rasmi kwenye mtandao wa kijamii wa Instagram , ambapo hadi sasa ana wafuasi zaidi elfu kumi na tano na kitu huku akiwa amewafollow viongozi wawili tu , Mh raisi samia suluhu, pamoja na raisi wa Zanzibar, Dr. Hussein Ali mwinyi.
Sasa Jaman kwenda kumfollow Mh raisi Samia na Dr. Hussein Ali mwinyi Ndo maana yake nini ?, halafu wote wazanzibar, yani mshaanza ubaguzi mapema yote hii Jaman . Yaani viongozi wote waliopo nchini ndo umewaona wa kuwafollow ni hao tu wawili au ? Mi sijapenda kabisa kwa kweli .mnaanza kutubagua mapema hivi .
Kama mmeamua kuhamia zanzibar mtuambie na sisi tutafute raisi wetu mwingine