Pre GE2025 Kassim Majaliwa: Rais Samia Mitano tena, na mimi bado nauhitaji Ubunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
590
Reaction score
807
DKT SAMIA MITANO TENA NA MIMI BADO NAUHITAJI UBUNGE

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametangaza rasmi kuendelea kuitaka nafasi ya Jimbo la Ruangwa, anakowakilisha hadi sasa aidha na kusema Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kupewa mitano tena mpaka 2030.

Mhe. Majaliwa ametangaza azma hiyo leo katika viwanja vya Madini, Ruangwa.

Soma Pia: Kassim Majaliwa: Rais Samia ni kinara wa kutekeleza Ilani ya CCM

Your browser is not able to display this video.
 
Mitano tena ya kishindo kikuu kitakacho itetemesha Dunia nzima kwa Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hasssan.Mitano mingine tena kwa Mheshimiwa Kasimu Majaliwa. Sitegemei mtu kwenda kuchukua Fomu ya ubunge kwenye jimbo la Mheshimiwa Majaliwa. Ni Fomu Moja tu kwa Dkt Samia Suluhu Hasssan kwenye Urais na Fomu moja tu kwa Mh Majaliwa kwenye Ubunge.
 
Waziri Mkuu na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa, Kassim Majaliwa akiwa Ruangwa ametangaza nia ya kuutaka ubunge ili aendelee kuwatumikia wananchi wa jimbo hilo. Ikumbukwe Kassim Majaliwa amekuwa Waziri Mkuu Takribani miaka Tisa na Mungu akijalia atatimiza miaka kumi 2025.

Your browser is not able to display this video.


Swali mnalojiuliza na mimi ndilo hilo hilo najiuliza.
 
Nshomile takataka unapost
 
Naunga mkono mi 5 tena ya Rais Samia ila Kwa PM Mstaafu kuwa Mbunge then atakuwa anachangia mijadala Bungeni au itakuaje? Au amehakilishiwa kuendelea kuwa PM?
 
Akafundishe wanafunzi wanamuhitaji aache unge.......se
 
Tunajua Mzee hana furaha ila afanye nini kibibi kinatisha kimekuwa kiuaji chenye tai/kiremba chekundu.
 
Kuna kitu kitakuja kuitetemesha dunia ila sio hiki ulichosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…