Pre GE2025 Kassim Majaliwa: Rais Samia Mitano tena, na mimi bado nauhitaji Ubunge

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naunga mkono mi 5 tena ya Rais Samia ila Kwa PM Mstaafu kuwa Mbunge then atakuwa anachangia mijadala Bungeni au itakuaje? Au amehakilishiwa kuendelea kuwa PM?
Kuna muongozo wwte unaosema waziri mkuu akitumikia kwa mda wa miaka 10 inabidi asiteuliwe tena??...najua rais ndo ana term limit ila hyu sijui...msaada tafadhali
 
Naunga mkono mi 5 tena ya Rais Samia ila Kwa PM Mstaafu kuwa Mbunge then atakuwa anachangia mijadala Bungeni au itakuaje? Au amehakilishiwa kuendelea kuwa PM?

Mama mwaka 2025 anapita bila ubishi, huyo waziri mkuu apewe awamu moja tu ya mwisho au apishe wengne
pia nafasi za ubunge ziwe na kikomo kama ni miaka 2, basi waziri mkuu anatumikia miaka 2 anapita hv
 
Wanasemaga uongozi ni mzigo yet mapeeema wanalilia kuongezewa mda😁😁😁
Ogopa kiongozi anabishana na Mungu...mtu kafariki yeye anapinga nakusema yupo anachapa kazi loh!!
 
Madaraka ni matamu sana, hawataki kuachia kabisa na kuachia vijana.
 
Tarehe 23 tunaelekea Ikulu kumfukuza Samia na genge lake, huyu mama ni katili na hafai kabisa,
 
Ngoja yamkute yaliyomkuta Mzee Malecela na Marehemu Mungai kuangushwa na vijana wadogo kwenye kura za maoni,ni vizuri kustaafu huku bado watu wanakupenda usisubiri hadi wakuchoke.
 
Siyo wwananchi wanaoutaka ubunge wake yeye ndiye anautaka!

We are 100 year nyuma ya maisha
 
Mama mwaka 2025 anapita bila ubishi, huyo waziri mkuu apewe awamu moja tu ya mwisho au apishe wengne
pia nafasi za ubunge ziwe na kikomo kama ni miaka 2, basi waziri mkuu anatumikia miaka 2 anapita hv
Miaka 10 inamtosha,hiyo ni nafasi ya Biteko unless Ile ya kusema wageni wanapewa vyeo imtafune.
 
Hii nchi ina vitu vya hovyo sana..
Ni.sawa huyu bibi badala ya kustaafu akalee wajukuu huko ndio kwanza kapandishwa cheo
 
Attachments

  • Screenshot_20240915_162100_Instagram.jpg
    240.3 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…