Pre GE2025 Kassim Majaliwa: Tujiulize kwanini matukio ya uuaji na utekaji yanatokea karibu na uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Huyu tangu aseme uwongo tena akiwa msikitini kuwa Dhalim alikuwa mzima wakati yuko kwenye jokofu sitakaa nimuamini tena.
 
Swali ilo Mh. Rais wang mtarajiwa jibu lake linafanana na swali nini umuhimu/faida ya mbio za mwenge kwa Tz ya leo???Dunia nzima hakuna nchi yenye mbio za mwenge hata mwenge wa olimpic ULISHAZIMWA KITAMBO SANAAAAAAA!!!
Mh
 
Kuna mtu naona kaweka X kwamba itakuwa ni vizur Sasa tupate ukwel kutoka kwa wachunguzi huru wanaoaminika..

Kwenye kujiuliza majibu ni muhim na yatoke kwenye chanzo huru..

Kauli nzuri sana Muheshimiwa
 
Matukio ya kutakena yamekuwepo zaidi baada ya Jpm kuingi madarakani.

Takwimu za TLS zinaonesha idadi kubwa kuongezeka kati ya mwaka 2021. Hadi 2024. Hapo uchaguzi uko wapi?

PM atoe majibu nani anateka wananchi na asijifanye anauliza kitu anachokijua.
 
Namuunga mkono 100%. Kwa namna nyingne anatushauri tujilinde. Mob justice itumike kudeal na watekaji. Wao wanabunduki but I'm telling hakuna aliyewahi kushinda hasira za raia
 
Huyu jamaa huwa ni kulaza sana sijui alupataje uwaziri mkuu
 
watakuwa wanajua wao mkuu wao wa wilaya waliyemtengua alisema sababu ni nini
 
Comments reserved
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…