britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
😂😂Mpaka waziri mkuu naye amempa promo 'mtu wa hovyo'
Hapa kuna mawili aidha wa hovyo ndiyo wa hovyo au aliyesema wa hovyo ndiyo wa hovyo
Hayo yamesemwa asubuhi hiiView attachment 1061822
Je Mwenyekiti wa Saidia Taifa stars ishinde atakubali kuongozana naye!Hayo yamesemwa asubuhi hiiView attachment 1061822