Kassimu Majaliwa: Serikali itamlipia Piere Konki Likwidi kwenda na Taifa stars nchini Misri

Nachoona hapa viongozi wengi hawamkubali bashite! Sasa ameingia kwenye 18 zao wanamdhihirishia kuwa hawako naye na ni msg sent kwa anayemuweka mjini kuwa huyo jamaa yuko peke ake.
 
Kwenye kamati ya uhamasishaji , ni nani mwenyekiti wake?
 
Nachoona hapa viongozi wengi hawamkubali bashite! Sasa ameingia kwenye 18 zao wanamdhihirishia kuwa hawako naye na ni msg sent kwa anayemuweka mjini kuwa huyo jamaa yuko peke ake.
Kabisa yaani kama walikuwa wanamtafutia upenyo[emoji23][emoji23]
 
Ila mm nawaza tofauti, itakuwa vipi kama mzee baba akiungana na mkuu wa Dar.!!!!
 
Back
Top Bottom