SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Laana ya kumchapa makofi Mzee Warioba inaanza kumtafuna ukichanganya na ile Albadri iliyosomwa mwezi September 2017 atapata tabu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laana ya kumchapa makofi Mzee Warioba inaanza kumtafuna ukichanganya na ile Albadri iliyosomwa mwezi September 2017 atapata tabu sana.
Kawaida tu, mbona Amber_Lutty alipata mdhamini!Makonda ajinyonge sasa
muda huu yupo mlimani site na wajane!
HahahaHuyu Pierre ana undugu na Mrisho Gambo? Naona wanafanana sana
Kabisa yaani kama walikuwa wanamtafutia upenyo[emoji23][emoji23]Nachoona hapa viongozi wengi hawamkubali bashite! Sasa ameingia kwenye 18 zao wanamdhihirishia kuwa hawako naye na ni msg sent kwa anayemuweka mjini kuwa huyo jamaa yuko peke ake.
.Mjadala wa CAG unapotezwa kihovyo hovyo namna hii....Nachoona hapa viongozi wengi hawamkubali bashite! Sasa ameingia kwenye 18 zao wanamdhihirishia kuwa hawako naye na ni msg sent kwa anayemuweka mjini kuwa huyo jamaa yuko peke ake.
Mpaka waziri mkuu naye amempa promo 'mtu wa hovyo'
Hapa kuna mawili aidha wa hovyo ndiyo wa hovyo au aliyesema wa hovyo ndiyo wa hovyo
.Mjadala wa CAG unapotezwa kihovyo hovyo namna hii....
Siihami Tanzania walah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani pierre anakunywa pombe muda wote! Kwny nchi km hizi pombe huuzwa kwny hotel kubwakubwa na sehemu maalumu.