Kassimu Majaliwa: Serikali itamlipia Piere Konki Likwidi kwenda na Taifa stars nchini Misri

Kassimu Majaliwa: Serikali itamlipia Piere Konki Likwidi kwenda na Taifa stars nchini Misri

Ila mm nawaza tofauti, itakuwa vipi kama mzee baba akiungana na mkuu wa Dar.!!!!
Itabidi avunje serikali nzima nadhani. Makamu, PM, feb, kigwa, jojo, tuly, nape, ndugA, mwgl, ..... wote awatumbue!!!
 
Huku Bashite akimdharirisha


Huku mlevi akipanda chati na kuitwa na BOSI wake bashite na kulipiwa nauli
 
Haa.. Liquid
 

Attachments

  • VID-20190403-WA0021.mp4
    2.5 MB
Hii ndiyo Afrika ...Bara giza
... anaenda kuwa mhamasishaji mkuu kwenye timu ya kampeni huyu. tunaenda kupata ushindi wa kimbunga; na wananchi walivyomkubali mtashangaa na roho zenu. Siasa ni strategy na sio bla blah; mshapigwa 5 za haraka haraka kabla ya mpambano.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
piere ni mtu makini sana.. katumia starehe yake ya unywaji kupata ajira ya uchekeshaji na fursa nyingi nyingi...

graduates tuendelee kuzungusha bahasha tugombee nafasi chache watu maelfu na maelfu
Anachekesha sababu ni mywaji au anachekesha sababu ana kipaji ? au unywaji ni kipaji.., ?, na asingekuwa anakunywa asingechekesha ? kuzungusha bahasha ni njia rahisi kuliko ku-force kipaji ambacho hauna..., anyone can learn and educate oneself but talent can not be acquired
 
Back
Top Bottom