Kassimu Majaliwa: Serikali itamlipia Piere Konki Likwidi kwenda na Taifa stars nchini Misri

Kassimu Majaliwa: Serikali itamlipia Piere Konki Likwidi kwenda na Taifa stars nchini Misri

Piere alipodhihakiwa mbele ya hafla ya Tokomeza Zero, akiwa mgeni mualikwa, tena kaalikwa na DC kwa heshima na taratibu zote.
Aliduwazwa kwa kitendo cha kutukana na mualikwa mwenzake, tena mbele za watu wote wakiwa na hadhi sawa katika ile hafla.
Huku akiwa amechangia shilingi Laki Moja.
Wengi hapa hatujasaidia chochote kwenye ile harambee ya Tokomeza Zero.
Lakini Piere kachangia Laki moja, pesa yake ya mfukoni.
Piere akastuka anatukanwa na mwalikwa mwenzake na mchangiaji mwenzake, matusi ya nguoni kabisa bila sababu.
Lakini alitulia kimyaaaaa.
Hivi ingekuwa Piere ndo kasimama na kusema
" mkuu wa mkoa huu wa darusalimu ndugu paula mkondakta ni mtu wa hovyo hovyo tu na nashangaa kwanini mnampa muda wa kuonekana "
Leo hii, je hali ingekuwaje kwa Piere?
kama sio kuwa Lupango, huku akiwa madamu chepachepa kwa kipigo.
Lakina Piere alitulia, kama hajasikia vile.
Na baada ya kutoa mchango wake akaondoka kimyakimya bila kusema kitu chochote.
Watu mjue kuwa,
Mungu mwenyewe hajawahi kumdharau Binadamu yeyote, anawapenda hadi Mashoga na wanapotubu huwapokea na kuwasamehe kabisa na kuwakaribisha ktk mbingu yake ya thamani.
Mungu toka auumbe huu ulimwengu hajawahi kumwita binadamu yeyote kuwa ni mtu wa hovyo hovyo tena kwa kumtaja jina.
Hata baada ya kumtukana Piere Makondakta bado ameendelea kusisitiza kuwa,
Piere ni mtu wa hovyo hovyo kama alivyosema,
Na kasema eti kwa sasa hatuja elewa, lakini baadae tutamwelewa kuwa alikuwa sahihi kumwita Liquid mtu wa hovyo hovyo.
NAMSHAURI PAULINA KONDA, KUWA AANZISHE DINI YAKE ILI APATE WATU WA KUMWABUDU.
NI MTU GANI ASIYEWEZA KUJISHUSHA NA KULINGANA NA WENGINE ...!
ASIYEWEZA KUOMBA MSAMAHA PALE AMBAPO ANAKOSEA...!
ANAYEJITANGAZA KUWA NI MTU BORA, YAANI HANA DHAMBI, WALA HAKOSEI...!
ANAJIONA YUKO JUU YA SHERIA NA HAOGOPI CHOCHOTE..!
MAKONDE AANZISHE DINI ILI AABUDIWE...!
KWA MAANA ANATABIA SAWASAWA NA ZA mungu.
mungu Kondo.
NB
Sisi wapigakura kwa sasa hatumhitaji tena Makondi kuwa kiongozi.
Sasa chagua upo kwa ajiri ya kumtumikia yeye au sisi.













Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemhakikishia Pierre Gumbo(Liquid) kuwa kuna tiketi yake kwa ajili ya kuambatana na Taifa Stars kuelekea Misri.

Waziri Mkuu ameyasema hayo alipozungumza na Pierre Liquid katika viwanja vya Bunge.
Kweli bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi!! Kuna watu miaka yote huingia na dufi, vigima, vuvuzera na wanaruka uwanjani toka saa sita mpaka mpira unaisha, hata siku moja hawajawahi kuonekana. Kaja mtu mmoja na "Tanzania izzz okay, izzz okay" tayari anakwea pipa😂😂
 
Mi nakwambia hii ni aibu ya karne kwa yule mtoto mpendwa!
 
Makamu wetu wa Rais ndugu Samia Suluhu Hassan,
Waziri wetu Mkuu ndugu Kassim Majaliwa.
Naomba mumushauri Raisi wetu kipenzi Ndugu John Pombe Magufuli
Kuwa........!
Mheshimiwa Jokate Mwegelo, Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe awe Mkuu wa Mkoa wa Daresalaam.
Huyu wa Daresalaam ahamishiwe katika mkoa mwingine hasa Mkoa wa Arusha kwa wale [emoji117]Chuga Boys[emoji16][emoji16][emoji16] wale wanaozungumza Lugha ya
[emoji117]Kiarachuga.
Mheshimiwa Gambo aende kuwa Mkuu wa Mkoa unao ongozwa na na yule Mkuu wa Mkoa anaye staafu.
Aondoke Dar akabadilishe upepo kwanza huko kwingine, kwani sisi wapigakura wa Daresa kwa sasa tushamchoka sana sana hapa
[emoji117]Darcity.
tafadharini, tafadharini, tafadharini, tupumzike kwanza japo kidogoz na kupumua.
Tunataka Mkuu wa Mkoa mpya Mrembo zaidi katika hii dunia, utufariji watu wa Dar, hasa sisi wanamume wa Dar[emoji118][emoji41][emoji41][emoji41]
Kwakuwa, Elimu anayo, Ushawishi anao, Uwezo anao, Busara anayo, Akili anayo, na Anapendwa na kalibia kila mtanzania kwa sasa.
Tunamtaka Joketi hapa Daresalaaaam.
Kwa sasa
Shusha Koti pandisha Jaketi




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itabidi avunje serikali nzima nadhani. Makamu, PM, feb, kigwa, jojo, tuly, nape, ndugA, mwgl, ..... wote awatumbue!!!
Dakika 90 ndizo zitakazoamua, Piere & CAG. Hahahaaa, hakuna kuzima data
 
Kila mwenye hasira na upumbavu wa Bashite amepata mahali pa kupunguzia machungu, Bashite kumtangaza Piere wa hovyo watu wameamua kumuonehsa nani ni wa hovyo. Piere yuko juu na atabaki kileleni.
 
Back
Top Bottom