Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
- Thread starter
- #21
Taahira ni Wewe unayeita wenzako mataahira,Mataahira pia mpo JF?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taahira ni Wewe unayeita wenzako mataahira,Mataahira pia mpo JF?
😠Taahira ni Wewe unayeita wenzako mataahira,
Tutamleta Mwigulu ili atunyoosheNyie sio Mungu? Mmeanza sasa kukufutu kama kipindi kile cha Magufuli.
Akifa kabla ya 2025 mtatuletea Mwigulu au Mpango?
😂😂😂MzunguCCM LETE MTHUNGU OYOOOOH
😂😂😂 Mama Yupo Sana, 2025-30Tutamleta Mwigulu ili atunyooshe
Vyama gani unavyovizungumzia? Maana watanzania wameweka Imani na matumaini yao kwa CCM na serikali yakeRais Samia ana hofu gani ikiwa anajua kafanya mambo makubwa?
Mbona hotuba za wasaidizi wake zimejaa kikampeni kampeni kila pahala?
Kama kafanya makubwa si aweke uwanja wa siasa uwe sawa kwa vyama vyote vya siasa?
Ni CCM tu, that is the factVyama gani unavyovizungumzia? Maana watanzania wameweka Imani na matumaini yao kwa CCM na serikali yake
Nashukuru mkuu, lazima Tuendelee kumpigania mh Rais wetu mpendwa zidi ya wale wachache wanaojaribu kumkwamisha katika juhudi zake za kuwatumikia na kuwaletea watanzania maendeleo, lakini vilevile Ni lazima Tuendelee kuitetea CCM chama ambacho ndio Tumaini la watanzania wanyonge,chama ambacho kimejibainisha waziwazi kuwa na Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania wanyongeLucas mwashambwa Wewe ni mpiganaji nakutangaza hivyo
Chapa kazi Mwanangu, kazi iendeleeNashukuru mkuu, lazima Tuendelee kumpigania mh Rais wetu mpendwa zidi ya wale wachache wanaojaribu kumkwamisha katika juhudi zake za kuwatumikia na kuwaletea watanzania maendeleo, lakini vilevile Ni lazima Tuendelee kuitetea CCM chama ambacho ndio Tumaini la watanzania wanyonge,chama ambacho kimejibainisha waziwazi kuwa na Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania wanyonge
Chapa kazi Mwanangu, kazi iendelee
Mungu akubariki kwa majitoleo yako hayaKazi lazima iendeleee