KASULU: CCM yawaahidi wanakigoma na Watanzania 2025 kuwarejeshea tena kipenzi chao Samia Kwani ndani ya mwaka mmoja tu amefanya mengi mazuri,

Rais Samia ana hofu gani ikiwa anajua kafanya mambo makubwa?

Mbona hotuba za wasaidizi wake zimejaa kikampeni kampeni kila pahala?

Kama kafanya makubwa si aweke uwanja wa siasa uwe sawa kwa vyama vyote vya siasa?
Vyama gani unavyovizungumzia? Maana watanzania wameweka Imani na matumaini yao kwa CCM na serikali yake
 
Lucas mwashambwa Wewe ni mpiganaji nakutangaza hivyo
Nashukuru mkuu, lazima Tuendelee kumpigania mh Rais wetu mpendwa zidi ya wale wachache wanaojaribu kumkwamisha katika juhudi zake za kuwatumikia na kuwaletea watanzania maendeleo, lakini vilevile Ni lazima Tuendelee kuitetea CCM chama ambacho ndio Tumaini la watanzania wanyonge,chama ambacho kimejibainisha waziwazi kuwa na Sera na ajenda zenye kugusa maisha ya watanzania wanyonge
 
Chapa kazi Mwanangu, kazi iendelee
 
Back
Top Bottom