Uchaguzi 2020 Kasulu: Dkt. Magufuli aahidi Kigoma kuwa kama Ulaya

Arekebishe kauli ili benchmark ya nchi iwe Chato.......aifanye Kigoma iwe kama Chato.
 
..jana kuna mchangiaji hapa JF nilimwambia Magu hawezi kufanya mikutano miwili bila kuwazungumzia vibaya na kuwadhalilisha wanawake.
Aaaah Mkuu rejea "fyatueni watoto..." sasa ili watoto wafyatuliwe kuna suala la damu mseto hapo ndilo mkuu anahimiza ili waha wazae na wageni 😀 😀
Tuvumiliane tu...
 
Jamaa anaahadi za kijinga sana........

Yaani anaona watz ni mandondocha kiasi hicho??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2539]

Sent from my BLL-L22 using JamiiForums mobile app
 
Hahaha, CCM waliahidi kuzifanya Ukonga na Kinondoni ziwe kama ulaya, sijui walishindwa nini au ndio waliishagundua mipiga kura ni mijinga.
 
Hata hii mitano akipita taamin watz Ni maiti

Miaka mitano wakati ashakwambia ana uhakika wa kushinda, mwenzako ashaanza kutoa hela za ujenzi za December we unaongea miaka mitano gani
 
Hawa wanasiasa sijui huwa wanatuchukuliaje yaani ....!!!;;;
 
Tangu uhuru mlikuwa wapi? Piga chini CCM safari hii cha moto watakiona kwenye sanduku la kura.
 
Huyu jamaa...Ulaya kuna unemployment benefits..anaweza kuwalipa vijana wasio na ajira au Ulaya majengo...PHD kuwa realistic
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…