Kasumba ya wanaume kujibadili jinsia na kujifanya wanawake (trans women) inavyoenea dunianI

Kasumba ya wanaume kujibadili jinsia na kujifanya wanawake (trans women) inavyoenea dunianI

Sakwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2022
Posts
246
Reaction score
883
Wakubwa pole kwa uchovu wa mihangaiko,

Twende moja kwa moja kwenye mada kuu tajwa hapo juu kumekuwa na kasumba ya watu waliozaliwa na jinsia ya kiume au Me kubadilisha mionekano yao na kujifanya wanawake.

Kupitia mitandao maarufu dunia instagram, X zamani twitter kumezuka kasumba ya watu ku post picha na video zenye maudhui tatanishi ,tena wengine huenda mbali na kujisifia katika hizo picha na video kuwa wamefanya maamuzi sahihi katika maisha yao.

Hoja hapa ni je watu hawa huwa na tatizo wapi wapo watu wana umri na rika tofauti kuna wazee vijana na hata umri wa makamo, ipo mifano kama baba yao na kina kim kardshian na wengineo wengi.

Serikali ya Marekani chini ya rais Joe Biden ulifadhili sana matukio haya na wapo watu wa namna hiyo walingia kwenye serikali, michezo na sehemu zote nyeti hata magerezani walipelekwa ya wanawake jambo lililopingwa vikali na Rais wa Merakani wa sasa bwana Donald trump.

Naleta kwenu wanajamvi bila kutumia hasira tuwailimishe kwa hoja vijana wenzetu watoto wetu na hata sisi wenyewe athari za matendo hayo yanayo pigwa chapuo na mitandao ya kijamii yote.

Mwisho nikaribishe maoni kwa wajuzi nmna mnavoliona hili swala!
Wenu
sakwe sakwe
Katibu wa kudumu
 
Wanaume wengine wanachoka kua Wanaume, sio rahsi kua mwanaume kwenye ulimwengu huu wa kibepari, kila kitu ukibebe mabegani kwa nguvu zako zote, wadhaifu wanachoka na kuamua kuleft group
 
Wanaume wengine wanachoka kua Wanaume, sio rahsi kua mwanaume kwenye ulimwengu huu wa kibepari, kila kitu ukibebe mabegani kwa nguvu zako zote, wadhaifu wanachoka na kuamua kuleft group
Hilo ndiyo lililobeba mada, lakini la kupigwa miti na kupumuliwa kisogoni ni issue nyingine kabisa yaani!
 
Back
Top Bottom