Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Unaendeleaje? Umetumia dawa gani mpaka sasa?Mzuka Wanajamvi!
Nadhani Ngoma cha mtoto. Yani hii makitu ni hatariiii. Nimeshuhudia kwa mtu Yani akikojoa mkojo Kaa mlenda halafu haufiki chini unanata nata kwa kudunda hewani kwenda chini na juu.
Tujiepusheni na ngono zembe!
Mmh hatari Mungu atuepushe kwa kweliIla unatibikika sema ujinga wa huu ugonjwa jinsia zote mbili wanaweza kukaaa nao muda mrefu na unaweza kuua au kukupa ugumba, maana una stage zake ukipuuzia tu dalili zikapotea basi utaishi nao mpaka dalili za stage nyingine nazo ukipuuzia tu unakutana na last stage sasa hapo ndio kisanga
Mwisho wa siku watu wapewe tiba na wajari afya zao na kuwa makini. Mtu anaweza pata hata kwa kushikana mikono japo kwa asilimia ndogo sana, na pengine watu tuna ignore haya magonjwa kama hayapo ila yapo.. Imekuwa tatizo matibabu yake yana unyanyapaa sana kutokana na ufinyu wa elimuAisee ngono zembe ni hatari sana
Huu ugonjwa wengi wanaishi nao sababu unaweza kukaanaa nao hata miaka 4+ tatizo dalili zake sio sumbufu sana na mara nyingi zinapotea tu zenyewe, ndio maana hausemwi Sana na ujinga unaweza ambukiza kutoka kwa mama kwenda mtoto kwa mjazito yaaani huu ugonjwa ni silent killerMmh hatari Mungu atuepushe kwa kweli
Ha ha ha si kweli πMy wenu, maana huyo jamaa nawajua mamanzi wake wengine na wewe pia ni manzi wangu ila tu hapa JF hunijui.
800 mzeya inabidi uwe billionea maana mbususu zenyewe bei mbaya80 au 800 π€£π€£
πππππ800 mzeya inabidi uwe billionea maana mbususu zenyewe bei mbaya
Huu ugonjwa inabidi ni U google.Maana ni hatari π¬Huu ugonjwa wengi wanaishi nao sababu unaweza kukaanaa nao hata miaka 4+ tatizo dalili zake sio sumbufu sana na mara nyingi zinapotea tu zenyewe, ndio maana hausemwi Sana na ujinga unaweza ambukiza kutoka kwa mama kwenda mtoto kwa mjazito yaaani huu ugonjwa ni silent killer
Ndio mzee πRough road si ndio shimo la taka? Kule sio mazeee,
Umetisha mzee, shimo kule sio babuNdio mzee π
Yaan haya mambo tuwaachie watu wa magharibi huko, hizi xxx video zinaharibu sana mentality zetu aiseeUmetisha mzee, shimo kule sio babu
Chemba sio nzuri kwa kila namna na hata porn sio nzuri kutazamaYaan haya mambo tuwaachie watu wa magharibi huko, hizi xxx video zinaharibu sana mentality zetu aisee
Hii muhimu Sana chanjo ya hepatitis homa ya ini Ni msala Mara Mia ngomaNdio mana mimi bila ndomu sipigi demu..mana inawezskana ukacheki ukimwi yuko poa..ila hbv anazo na hepatitis anayo..balaa hepatitis mana hilo ni kujiandaa kufa tu.
Wajuba chomeni chanjo ya hepatitis b mtakuja kunishukuru badae.
#MaendeleoHayanaChama
Kweli mkuu watu wazipa promo tu, ila siku mtu ukija kuziba kojoleo halaf pangu pakavu utajuta kuzaliwa mamaeee mkojo hautoki hata tone na kojo limekujaa lazma ulie kama mtoto mdogo.Chemba sio nzuri kwa kila namna na hata porn sio nzuri kutazama
Sindano ya kaswende inavyouma lazima utalia au kishindwa kutemnea niπ₯π₯
Ukimaliza dozi adabu utaishika ti
ππ doctor kama doctor...atakua kasema KAM college huyoNipo na Doctor hapa nikawa nasoma naye uzi, anasema hayo magonjwa yanasababishwa na kufanya ngono na wanyama.
Ndo ivyoHa ha ha si kweli π
Dalili ya kwanza.Mbona hamtuambii dalili za gono kwa wanawake ili tuwe aware nao..
Hatari mno sema tu hausemwi kwa sababu muda mwingine unakuwa haukupi dalili unashtuka iko hatua ya mwisho au mtu kawa kichaa au amekufaHuu ugonjwa inabidi ni U google.Maana ni hatari π¬
Labda zinaweza kwepa ila mara nyingi zinakwepo kituo cha afya (Heath centre). Yaan kazi ya hiyo chanjo ya Hepatitis kibongobongo wanatumia madaktati wenyewe kama kinga wasije kuambikizwa na wagonjwa wanaowatibi hasasa wa Homa ya ini. Au ukiwa unaenda nje ya nchi mpkani wanakulazimisha uchome hiyo chanjo au kqma usha choma kadi yke uwe nayoZahanati zipo? Maana hospital za serikali kila kitu kina bei