Kaswende na Gono noma

Kaswende na Gono noma

Mzuka Wanajamvi!

Nadhani Ngoma cha mtoto. Yani hii makitu ni hatariiii. Nimeshuhudia kwa mtu Yani akikojoa mkojo Kaa mlenda halafu haufiki chini unanata nata kwa kudunda hewani kwenda chini na juu.

Tujiepusheni na ngono zembe!
Unaendeleaje? Umetumia dawa gani mpaka sasa?
 
Ila unatibikika sema ujinga wa huu ugonjwa jinsia zote mbili wanaweza kukaaa nao muda mrefu na unaweza kuua au kukupa ugumba, maana una stage zake ukipuuzia tu dalili zikapotea basi utaishi nao mpaka dalili za stage nyingine nazo ukipuuzia tu unakutana na last stage sasa hapo ndio kisanga
Mmh hatari Mungu atuepushe kwa kweli
 
Aisee ngono zembe ni hatari sana
Mwisho wa siku watu wapewe tiba na wajari afya zao na kuwa makini. Mtu anaweza pata hata kwa kushikana mikono japo kwa asilimia ndogo sana, na pengine watu tuna ignore haya magonjwa kama hayapo ila yapo.. Imekuwa tatizo matibabu yake yana unyanyapaa sana kutokana na ufinyu wa elimu
 
Huu ugonjwa wengi wanaishi nao sababu unaweza kukaanaa nao hata miaka 4+ tatizo dalili zake sio sumbufu sana na mara nyingi zinapotea tu zenyewe, ndio maana hausemwi Sana na ujinga unaweza ambukiza kutoka kwa mama kwenda mtoto kwa mjazito yaaani huu ugonjwa ni silent killer
Huu ugonjwa inabidi ni U google.Maana ni hatari 😬
 
Ndio mana mimi bila ndomu sipigi demu..mana inawezskana ukacheki ukimwi yuko poa..ila hbv anazo na hepatitis anayo..balaa hepatitis mana hilo ni kujiandaa kufa tu.

Wajuba chomeni chanjo ya hepatitis b mtakuja kunishukuru badae.

#MaendeleoHayanaChama
Hii muhimu Sana chanjo ya hepatitis homa ya ini Ni msala Mara Mia ngoma
 
Zahanati zipo? Maana hospital za serikali kila kitu kina bei
Labda zinaweza kwepa ila mara nyingi zinakwepo kituo cha afya (Heath centre). Yaan kazi ya hiyo chanjo ya Hepatitis kibongobongo wanatumia madaktati wenyewe kama kinga wasije kuambikizwa na wagonjwa wanaowatibi hasasa wa Homa ya ini. Au ukiwa unaenda nje ya nchi mpkani wanakulazimisha uchome hiyo chanjo au kqma usha choma kadi yke uwe nayo

NAKUSANUA KAMA NI MTU WA KAWAIIDA WE NENDA POPOTE ATA ZAHANATI MPANGE NESI AU DAKTARI KWA NIFANYIE MCHAKATO NIPATE CHANJO YA HEPATITS. YEYE ATAIPATA TU KWANI HAIJAHALALISHWA ITOLEEWE KWA KILA MTU. (KAZI ZAKE NI KAMA HAPO JUU) KWA HIYO USIDHANI UNAPIGWA HELA
BEI IKIENDA SANA NI 5000 MPKA 15000 MWISHO TOFAUTI NA HAPO ANATAKA AKUPIGE VIBAYA.

HAIPATIKANI HOVYOHOVYO NI YA KUREQUEST MZIGO UNALETEWA PAMOJA NA KADI YAKE YAKUONYESHA KWAMBA WEWE UMESHA PATA CHANJO
 
Back
Top Bottom