Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Unaendeleaje? Umetumia dawa gani mpaka sasa?Mzuka Wanajamvi!
Nadhani Ngoma cha mtoto. Yani hii makitu ni hatariiii. Nimeshuhudia kwa mtu Yani akikojoa mkojo Kaa mlenda halafu haufiki chini unanata nata kwa kudunda hewani kwenda chini na juu.
Tujiepusheni na ngono zembe!