Kaswende na Gono noma

Kaswende na Gono noma

Ukipata manzi anakupenda kwel anakwambia ukwel me nilipata bahati hyo kidemu kikanambia kwel kimenasa Kaswende kiliniomba sana usiniache nakukubali sana sitaki nikufiche mambo yaliyonikuta nikakisaidia japo ilikuwa kwenye hatua mbaya nkaishi nacho hvyohvyo kibishi.
 
Hongera

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Mimi zimenifanya nishindwe kabisa kuuona utamu wa mbususu kwasababu ya uoga wangu maana nikitumia ndomu naona kama hakuna ninachokifanya ni heri kuacha tu na kubaki njia kuu nibaki kwenye mbususu ambayo nimeshaichoka

Kwanin umeichoka
 
Mzuka Wanajamvi!

Nadhani Ngoma cha mtoto. Yani hii makitu ni hatariiii. Nimeshuhudia kwa mtu Yani akikojoa mkojo Kaa mlenda halafu haufiki chini unanata nata kwa kudunda hewani kwenda chini na juu.

Tujiepusheni na ngono zembe!
🤣🤣🤣🤣 mkojo kama mlenda unanatanata kwa kudunda dundašŸ™ŒšŸ»šŸ™ŒšŸ»šŸ™ŒšŸ»šŸ™ŒšŸ»
 
Ukipata manzi anakupenda kwel anakwambia ukwel me nilipata bahati hyo kidemu kikanambia kwel kimenasa Kaswende kiliniomba sana usiniache nakukubali sana sitaki nikufiche mambo yaliyonikuta nikakisaidia japo ilikuwa kwenye hatua mbaya nkaishi nacho hvyohvyo kibishi.

Kwan alikuwa hana pa kuishi mpaka uishi nae?alipona
 
Back
Top Bottom