Kaswende na Gono noma

Kaswende na Gono noma

Gono sio ugonjwa mzuri nimewahi pata zaidi ya mara moja na sasa nipo aware sana..Dawa yake ni sindano pamoja na vidonge.Dosage yake ipo hivi
Powercef(Ceftriaxone)au Cefotoxine injection+,Flagil(metronidazole)+Doxy
Matumizi yake...Anza kuchoma sindano wakati unatumia Metro then baada ya sindano kumaliza tumia doxy
NB: #Zipo aina nyingi za kupanga hiyo dose kadir daktar atakavoshauri.
#Usiache kumaliza dose mfano Doxy hata kama utaona umepona maana Gonorhea inaambatana na Chlamydia ambapo hawa bacteria huwa hawafi kwa hiyo sindano ila Doxy
#Usiache kutmia flagyl kwakuwa Gono linawezaingia na ndugu yake anaeitwa Trichomonas vaginalis.
#Tumia dose na mwenza wako hata kama uliupata sehemu nyingine na ulishare nae before dalili hazijaanza maana utakuwa umemwachia so kutibiwa kwa siri haitasaidia maana utalichukua tena kwa mkeo.
Kweli

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Usisahau kuwa kuna homa ya ini haionekani kwa macho pia Ata kwa mwanaume
Ndio mana mimi bila ndomu sipigi demu..mana inawezskana ukacheki ukimwi yuko poa..ila hbv anazo na hepatitis anayo..balaa hepatitis mana hilo ni kujiandaa kufa tu.

Wajuba chomeni chanjo ya hepatitis b mtakuja kunishukuru badae.

#MaendeleoHayanaChama
 
Gono sio ugonjwa mzuri nimewahi pata zaidi ya mara moja na sasa nipo aware sana..Dawa yake ni sindano pamoja na vidonge.Dosage yake ipo hivi
Powercef(Ceftriaxone)au Cefotoxine injection+,Flagil(metronidazole)+Doxy
Matumizi yake...Anza kuchoma sindano wakati unatumia Metro then baada ya sindano kumaliza tumia doxy
NB: #Zipo aina nyingi za kupanga hiyo dose kadir daktar atakavoshauri.
#Usiache kumaliza dose mfano Doxy hata kama utaona umepona maana Gonorhea inaambatana na Chlamydia ambapo hawa bacteria huwa hawafi kwa hiyo sindano ila Doxy
#Usiache kutmia flagyl kwakuwa Gono linawezaingia na ndugu yake anaeitwa Trichomonas vaginalis.
#Tumia dose na mwenza wako hata kama uliupata sehemu nyingine na ulishare nae before dalili hazijaanza maana utakuwa umemwachia so kutibiwa kwa siri haitasaidia maana utalichukua tena kwa mkeo.
Ila wadada wengi wanaumwa chlamydia wanasema UTI sugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] UTI haiambukizwi kwa njia ya sex jamani. Ecoli bacteria can not live in vigina ni urinary track.

Madr wote wanaojielewa wanajua hii kuwa mtu anaumwa ugonjwa wa zinaa wanamwambia UTI sugu
 
Back
Top Bottom