National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
Bro Gono kwa mwanamke ni ngumu kweli kuonekana. Ni hadi muende kwenye vituo vya afya mfanyw kucheki afya kwa ujumla. Unaweza ipata ukampa mkeo ikakusumbua wewe, yeye isioneshe hata dalili na ukirudia game kwake unaipata tena huku yeye akiwa fresh. Dawa ni kuacha haya mambo, kaa na mtu mmoja chekini afya zenu na kuwa waaminifuMbona hamtuambii dalili za gono kwa wanawake ili tuwe aware nao..
Ilikuaje mkuu!!?? Duhhaseeee hayo ya zinaaa yasikie kwa jirani.kuna mmoja nilipiga kavu,kesho yake hata jioni haijafika.nilipata tabu sana
Sindano ya kaswende inavyouma lazima utalia au kishindwa kutemnea ni🔥🔥Mzuka Wanajamvi!
Nadhani Ngoma cha mtoto. Yani hii makitu ni hatariiii. Nimeshuhudia kwa mtu Yani akikojoa mkojo Kaa mlenda halafu haufiki chini unanata nata kwa kudunda hewani kwenda chini na juu.
Tujiepusheni na ngono zembe!
MmmmmmmmhHakuna kapicha tuone mazee[emoji848][emoji848][emoji15][emoji15]????
Aiseeehhh!!!!Sindano ya kaswende inavyouma lazima utalia au kishindwa kutemnea ni[emoji91][emoji91]
Ukimaliza dozi adabu utaishika ti
Kuna vitu vinaogopeshaaaa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Mmmmmmmmh
ni Kati ya sindano zinazo uma sana duniani. Vichanganyio vya kutoshaAiseeehhh!!!!
Sawasawa, Pisi kali nyingi ni tatizo.Mwaka 2006 kuna mwanangu alipata Syphilis ikapelekea hadi kupata vipele fulani vyenye usaha kichwani. Kuna rafiki yetu ni daktari alikuwa anaenda kumchoma sindano home kwake, jamaa alikuwa analia kama mtoto na kugalagala chini akisema zinauma sana. Bahati mbaya sasa, binti aliyempa ule ugonjwa alikuwa anatokea ushuani yani, pisi kali kwelikweli.
Kuna mwanangu mwingine alipata gono, bahati mbaya sana mke wake akafahamu akaja kulalamika kwetu akitishia talaka. Jamaa anaumwa, mke kakazana amtaje huyo mwanamke aliyelala naye. Akatishia kuyapeleka kwa wazazi. Binti aliyempa ule ugonjwa ni mzuri na huwezi hata kumdhania aisee. Ilikuwa ni balaa juu ya balaa...
Baada ya haya matukio kutokea, niliamini kwamba Looks can be deceptive....
Ukihangaika sana na hawa mabinti unaweza hata ukapata matatizo na mikosi tu....
Pole mkuuMzuka Wanajamvi!
Nadhani Ngoma cha mtoto. Yani hii makitu ni hatariiii. Nimeshuhudia kwa mtu Yani akikojoa mkojo Kaa mlenda halafu haufiki chini unanata nata kwa kudunda hewani kwenda chini na juu.
Tujiepusheni na ngono zembe!
Kitulize tuDuhhhhh kuna vitu vinaogopesha mnoo aiseee kwa hizi koments[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Acha nikitulize tu! Nimeogopaaaaaaa
Kweli bablaiSawasawa, Pisi kali nyingi ni tatizo.
Hakyanani tena mbona hatari nanusu kha!!
Mnooooooo jirani!! Bora kutuliaaaSawasawa, Pisi kali nyingi ni tatizo.
Bora nyie wanawake sisi sasa[emoji1] ndo noma unaona wazoefu wanavyo tililikaHakyanani tena mbona hatari nanusu kha!!
Kabisa jirani, ..Mnooooooo jirani!! Bora kutuliaaa
Aiseeehhh!!ni Kati ya sindano zinazo uma sana duniani. Vichanganyio vya kutosha