Kaswende na Gono noma

Kaswende na Gono noma

Kuna mgonjwa niliowai kwenda kumuona alikuwa mtu wa totoz ila alishafariki..Aisee!!! Uume umelika kama ufutio ana vidonda kibao akikojoa analia maumivu vidonda haviponi kuvaa nguo haweza anatakiwa apigwe na baridi ndo anapata afueni..

Ila ndo mkome.
Never say never..demu unayemwamini ndiye atayekupa gonorea.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mimi zimenifanya nishindwe kabisa kuuona utamu wa mbususu kwasababu ya uoga wangu maana nikitumia ndomu naona kama hakuna ninachokifanya ni heri kuacha tu na kubaki njia kuu nibaki kwenye mbususu ambayo nimeshaichoka
Muhimu sana lakini usichoke kumchunguza njia kuu yako unaweza ukajitunza halafu yeye anagawa kwa hawa wahuni. Mimi natumia offense na defence strategies sitaki STDs.
 
Mzuka Wanajamvi!

Nadhani Ngoma Cha mtoto. Yani hii makitu ni hatariiii. Nimeshuhudia kwa mtu Yani akikojoa mkojo Kaa mlenda halafu haufiki chini unanata nata kwa kudunda hewani kwenda chini na juu.

Tujiepusheni na ngono zembe!
Noma gonjwa la aibu hasa ilo gono. Shida ya gono kwa mwanamke hali onekani kwa haraka, anaweza kaa nalo miaka na mika, unaona pisi kali safi hakuna shombo, piga mzigo asubuhi unaanza isoma namba, ngoma inavuja huwa ni chururu tu, usaha usahaa ni kero sana ule ugonjwa..
 
Noma gonjwa la aibu hasa ilo gono. Shida ya gono kwa mwanamke hali onekani kwa haraka, anaweza kaa nalo miaka na mika, unaona pisi kali safi hakuna shombo, piga mzigo asubuhi unaanza isoma namna, ngoma huwa ni chururu tu, usaha usahaa ni kero sana ule ugonjwa..
Kwa mwanaume unawahi kuonekana?

Sent from my SM-G950F using JamiiForums mobile app
 
Kuna mgonjwa niliowai kwenda kumuona alikuwa mtu wa totoz ila alishafariki..Aisee!!! Uume umelika kama ufutio ana vidonda kibao akikojoa analia maumivu vidonda haviponi kuvaa nguo haweza anatakiwa apigwe na baridi ndo anapata afueni..

Ila ndo mkome.
Huyo alikuwa mtata kupata matibabu, ukitia demu mwenye gono usiku, asubuhi utaelewa umeingia cha kike.. 🤠🤠🤠 Kama mwili wako upo sensitive
 
Kuna wakulungwa wanasema kama hujawah ugua hayo madude basi wewe sio mwamba
Shida ya hayo magonjwa, unaonekana mchafu katika upigaji wake, magonjwa ya aibu kabisa, ila ni kwamba hayaonekani kwa watoto wa kike haraka, unaweza kula pisi kali baraa ila kumbe tayari anayo.. Hata hospital utataka utibiwe kimagendo magendo kama una mwenza asijue taabu sana
 
Back
Top Bottom