Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie simoooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inapatikana wapi?Ndio mana mimi bila ndomu sipigi demu..mana inawezskana ukacheki ukimwi yuko poa..ila hbv anazo na hepatitis anayo..balaa hepatitis mana hilo ni kujiandaa kufa tu.
Wajuba chomeni chanjo ya hepatitis b mtakuja kunishukuru badae.
#MaendeleoHayanaChama
Mbona unawacheka sanaMie simoooo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watajijuuuuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
M&u tuko ok au sio[emoji23][emoji23][emoji23]Watajijuuuuuu. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Haswaaaaaah!!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaahHuwa naucheki Ub** wangu nauambia "My nigga you are too cool, You're my everything so i can't use you kiholela" kiufupi sitaki masihara na mwili wangu na afya kiujumla.
Kwani Nani hapendi kutulia? Tatizo wenza wetu, Mara anaumwa na tumbo, Mara amechoka Sana, ilimradi tu akunyime utelezi. Huko nje nako Kuna mitoto Ina taarabu hatari, kumbe wameoza chini.
HatariKwani Nani hapendi kutulia? Tatizo wenza wetu, Mara anaumwa na tumbo, Mara amechoka Sana, ilimradi tu akunyime utelezi. Huko nje nako Kuna mitoto Ina taarabu hatari, kumbe wameoza chini.
Njia rahisi ya kumjua mwanamke mwenye gono Ni ile harufu ya k.Ukilala na mwanamke mwenyw Gono kesho yake asubuhi majibu ushayapataa...!! Ubaya aliekupaa hata hajui kama anaumwaa wadada wanauwezo wa kuishi na gonoo miaka kibao..
Dawa Piga Ceftriaxone 2gm stat... Alafu malizia Azuma 1x1 kwa siku 6..!!
Usirudie kugongaa manzi aliekupaa gonoo maana utajua hujuii..
Unatoka mapele sana. Halafu una potea baada ya miaka 3 unaanza toboka na kuvimba yani inatisha zaidi kama mgonjwa wa kansa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa huo ugonjwa si ndio maana unatakiwa uitwe kantangaze kila mtu atakayekuona lazima akamtangazie mwenzake kuwa umetoboka au una mapele/mapunye mwili mzima [emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka sana mkuu why uitwe Kantangaze ukiugua unakuwaje kwani[emoji16][emoji16]
Mwili mzima yani nikikuambia kila mtu atajua kuwa una syphilis jua ndio hivyo kantangazeMwilini kote au ikulu ?
Yaah..chanjo ya hepatitis b ipo..ni dose tatu tu unachoma bega la kushoto.
Yakwanza..kisha ya pili baad ya mwezi kisha ya tatu baada ya miezi 6.
Kinga ni bora.
#MaendeleoHayanaChama
Si ndo ilitokea mara moja, haitatokea tena....
Toka nipime ukimwi sikukutwa nao, kwa sasa nawawahi kuwapima kabla