Kaswende na Gono noma

Kaswende na Gono noma

Ndio mana mimi bila ndomu sipigi demu..mana inawezskana ukacheki ukimwi yuko poa..ila hbv anazo na hepatitis anayo..balaa hepatitis mana hilo ni kujiandaa kufa tu.

Wajuba chomeni chanjo ya hepatitis b mtakuja kunishukuru badae.

#MaendeleoHayanaChama
Inapatikana wapi?
 
Ukilala na mwanamke mwenyw Gono kesho yake asubuhi majibu ushayapataa...!! Ubaya aliekupaa hata hajui kama anaumwaa wadada wanauwezo wa kuishi na gonoo miaka kibao..

Dawa Piga Ceftriaxone 2gm stat... Alafu malizia Azuma 1x1 kwa siku 6..!!

Usirudie kugongaa manzi aliekupaa gonoo maana utajua hujuii..
 
Huwa naucheki Ub** wangu nauambia "My nigga you are too cool, You're my everything so i can't use you kiholela" kiufupi sitaki masihara na mwili wangu na afya kiujumla.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaah
 
Ukilala na mwanamke mwenyw Gono kesho yake asubuhi majibu ushayapataa...!! Ubaya aliekupaa hata hajui kama anaumwaa wadada wanauwezo wa kuishi na gonoo miaka kibao..

Dawa Piga Ceftriaxone 2gm stat... Alafu malizia Azuma 1x1 kwa siku 6..!!

Usirudie kugongaa manzi aliekupaa gonoo maana utajua hujuii..
Njia rahisi ya kumjua mwanamke mwenye gono Ni ile harufu ya k.
Unajua k inaharufu Fulani hivi tamu yaani haikeri, Ila ukisikia k inanukia samaki aliyechina kimbia. Ukisikia harufu ya papa kwa mbaali ujue hiyo Mali Safi, shuka hata uvinza.
 
Nimecheka sana mkuu why uitwe Kantangaze ukiugua unakuwaje kwani[emoji16][emoji16]
Unatoka mapele sana. Halafu una potea baada ya miaka 3 unaanza toboka na kuvimba yani inatisha zaidi kama mgonjwa wa kansa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa huo ugonjwa si ndio maana unatakiwa uitwe kantangaze kila mtu atakayekuona lazima akamtangazie mwenzake kuwa umetoboka au una mapele/mapunye mwili mzima [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaah..chanjo ya hepatitis b ipo..ni dose tatu tu unachoma bega la kushoto.

Yakwanza..kisha ya pili baad ya mwezi kisha ya tatu baada ya miezi 6.

Kinga ni bora.

#MaendeleoHayanaChama

Miezi sita au mitatu wewe
?ya kwanza unachoma unakaa mwezi mzima unachoma ya pili kisha unakaaa miezi mitatu unachoma ya mwisho mi nilichomwa hivyo
 
Back
Top Bottom