Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huu ni mkutano uliopigwa leo na Mbunge wa milele wa jimbo hilo Joseph Mbilinyi kata ya Ilemi ambaye pia wenyeji wa hapo humuita Rais wa Mbeya .
Mtu huyu ambaye pia ni mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA hana mambo mengi kwenye mikutano yake, hushirikiana na watu wa Mbeya tu akiwemo Mtu mzito John Mwambigija .