Uchaguzi 2020 Kata kwa Kata: Sugu aendelea kufagia uchafu Mbeya Mjini, Hii hapa ni kata ya Nzovwe

Uchaguzi 2020 Kata kwa Kata: Sugu aendelea kufagia uchafu Mbeya Mjini, Hii hapa ni kata ya Nzovwe

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Huyu kijana kuna haja ya Africa kumpa tuzo maalum , si rahisi kwa raia kuikalisha chini serikali yote Mbeya , kwa jinsi anavyoungwa mkono Mbeya Mjini imefanya hata yule polisi aliyemkamata siku anarudisha fomu kuogopa hata kujitokeza hadharani , inasemekana anaogopa hata kwenda dukani kununua maji ya kunywa .

Hebu angalia umati kata ya Nzovwe

KATA kwa KATA...DAY 8_ KATA ya NZOVWE mmetisha sana LEO _raised_hands__raised_hands__fire__fir...jpg
 
Hahahaha wewe dada utakuwa una matatizo ya akili wahi ukamwone daktari.
 
Yani haka kapicha umeedit hadi aibu!

Hivi hapo hata mtoto mdogo si anaona kwamba hii picha ni ya kuedit? Watu wamekaa shaghala baghala wengine wamegeukia mashariki, wengine kaskazini yani kiufupi hii picha ni uchafu
 
Tuna mipango ya kuongoza nchi baada ya 28 october , hatuna muda mchafu wa kufanya unayoyasema
 
Yule kibaraka wa ccm mwenye uniform tukimwona tu kwenye mkuttano wa rais wetu wa mbeya tunamnyonya damu! Aombe sana Mungu, hawezi kumdhalilisha mheshimiwa Sugu kiasi kile wakati yeye alifeli form 4 akapata zero ndo akaajiriwa na mabwana zake, faili lake tunalo
 
Back
Top Bottom