Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,717
- 13,176
Sugu moto chini
Nalog off
Nalog off
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu wabariki akina mamaUchaguzi huu CHADEMA tunamwacha Magufuli mbali sana, Wamama wapo mbele kutaka mabadiliko, wameteseka miaka hii mitano ya Magufuli.
#NIYEYE #LISSURAIS2020
magu2016Bado siku 44 tu! Tuone kama unasema ukweli.
Una ugonjwa wa kutoyaamini macho yako, nahisi hata ubongo wako utakuwa huuamini pia.Bado siku 44 tu! Tuone kama unasema ukweli.
Kuna vijana wa sai na veta walikuwa wapewa saivi wananyanganywaKwa sasa tulia anadai bajaji zake, zinawekewa Bendera za chadema.kwa kwa kweli rushwa haisaidii kamwe.