Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Vita gani? Subiri Sugu achinjiwe baharini tarehe 28/10/2020!Hakika , lakini Je ccm iko tayari kuleta vita kwa ajili ya kumbeba mbunge wa viti maalum kutoka Kinondoni ?
HakikaWavimba macho lazima wapasuke
Tuna mipango ya kuongoza nchi baada ya 28 october , hatuna muda mchafu wa kufanya unayoyasemaYani haka kapicha umeedit hadi aibu!
Hivi hapo hata mtoto mdogo si anaona kwamba hii picha ni ya kuedit? Watu wamekaa shaghala baghala wengine wamegeukia mashariki, wengine kaskazini yani kiufupi hii picha ni uchafu
Kesho nitakufuata hapo ulipo nikununulie chai naona una njaa sana.Tuna mipango ya kuongoza nchi baada ya 28 october , hatuna muda mchafu wa kufanya unayoyasema
Bado siku 44 tu! Tuone kama unasema ukweli.
Nitakujulisha mkuu, lakini kesho ni IganzoIyunga Lin mkuu
sawa mkuu shukrannitakujulisha mkuu , lakini kesho ni Iganzo
Shukrani sana mkuu