Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

Nililielewa hili nikiwa na miaka 18...
Simuamini polisi yoyote hata kama ni ndugu wa damu.
 
Kuna watu nawajua wameshapigan na trafic barabaran mwish wa siku wanawekwa ndan na kupelekwa mahakaman na kupigwa faini ila baada ya apo heshim inafuata mkondo wake siku nyengin ata amkute na kosa gan hamulizi kitu
😁😁😁kama umeshiba kaombe pambano na mwakinyo ulipwe,usisikilize hizi story kijiweni wala kwenye simu,kwamba kuna mtu alipigana na askari heshima ikapatikana.usione watu wana miili hawawapigi askari ukadhani ni washamba.

Utapigwa kila sehemu ya mwili wako,na wakikuonea huruma sana labda wamesikia una uvimbe,watakutupia kesi isiyoeleweka usote mahabusu hata miezi 6,muulize baba level.

Hakuna heshima utaibeba kwa kupiga askari wakuache nayo,lazima waibebe na kidogo uliyokuwa nayo siku zote🤣🤣
 
Polisi siyo mjeda bhana mjeda ni askari wa TPDF ( jwtz)
Asiwaingize wajeda kwenye mapolisi...JW ni poa milele,ukikuta wameharibu mahali,chunguza,utakuwa Raia wameharibu Kwanza ndipo vurugu ndogo zinapita kwa muda..
 
Dude it was a lighthearted comment not an analysis of snakes. Can you for the love of God take a chill pill.

Si mtihani ndugu kuwa nitakosa point kwa nilichoandika.

By the way kilaza ni baba yako aliefanya mapenzi bila ya kinga kutarajia hatotia mimba, angalia athari yake sasa, juha wewe umezaliwa kuja hapa kuchambua kuhusu chatu kwenye topic isiyohusu chatu na bila hata kuulizwa kuhusu huo uchambuzi wako.
 
Umeanza na neno " wewe usibishebishe tu" sasa hapo unadhani nani mwenye kosa ?

Unafikiri Polisi wanafanikisha ukamataji wa vitu vilivyoibiwa kwa kutumia DUMBA? ni kama hivyo ulivyokamatwa ww kwa uzembe, HAYA sasa umekamatwa kwa kosa halal umeamua kutoa RUSHWA kwa kisingizio eti NACHELEWA.

NI vyema usingeandika kabisa hicho ulichotuandikia KOSA UMEFANYA NA UMEONGEZA KOSA jingine na kuunda urafiki wa kihalifu kwa kufundishana mbinu za uhalifu, vinginevyo UNGEKWAMA.

Unadhani dereva wa Lori yy alikuwa salama hapo? Ungekuwa smart vya kutosha ungekubali muende mbele zaidi.
 
NARUDIA HII MADA KWA MSISITIZO , POLISI WA TANZANIA NI CHOMBO OVU CHENYE WATUMISHI WENYE ROHO ZA KINYAMA NA UPUNGUFU WA AKILI
 
Natamani siku moja polisi wasifanye kazi vituo vyote vifungwe alafu tuone matokeo yake yatakuaje
 
Mwezi mchanga umekaribia nini? 1/4 ya rafiki zangu ni askari polisi, tunakunywa nao pombe tunafurahi pamoja ispokuwa endapo unavinasaba vya uizi polisi utawaona sumu kali.
Wewe kama bado uko hai bila shaka umeshuhudia hao rafiki zako walichokifanya
 
Fanya ufanyalo lakini usije ukaoa polisi especially TRAFIK.
Avoid traffic policewoman at all costs.
Acha waendelee kuliwa na madereva wa malori ya mkaa.
 
Polisi hawezi kutoka kwenye kituo chake cha kazi akaja kumfuata raia bila sababu. Binadamu ndiye kiumbe hatari na kamwe usimwamini.
Hao police unaowazungumzia wewe ni wa nchi gani? Itoshe kusema kua uyaone. Ninawasiwasi huenda police wakawa na mchango mkubwa katika kuzalisha kero za wananchi dhidi ya serikali. Suruhu hapa ni kusubiri Simbachawene atakabiliana vipi na hawa jamaa


View: https://vm.tiktok.com/ZMDSbSP8o/
 
Nakata rasmi mahusiano yangu na polisi rafiki na ndugu. Na kwenye misiba ya familia nitasusa tuna polisi mmoja kwenye ukoo upande wa mama Yuko ..... Huyo nahamasisha tumtenge kimyakimya namimi ndio don wa ukoo atakunya mavi.
 
Hao police unaowazungumzia wewe ni wa nchi gani? Itoshe kusema kua uyaone. Ninawasiwasi huenda police wakawa na mchango mkubwa katika kuzalisha kero za wananchi dhidi ya serikali. Suruhu hapa ni kusubiri Simbachawene atakabiliana vipi na hawa jamaa
Hawa jamaa wanaongea kama wamekatwa vichwa
 
Nakata rasmi mahusiano yangu na polisi rafiki na ndugu. Na kwenye misiba ya familia nitasusa tuna polisi mmoja kwenye ukoo upande wa mama Yuko ..... Huyo nahamasisha tumtenge kimyakimya namimi ndio don wa ukoo atakunya mavi.
🤝🤝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…