Kataa kabisa urafiki au mahusiano ya kawaida na Askari Polisi

Sisi huku hua tuna waroga tuu hata hatusumbuki nao Sana, ukifuata Sheria hata kama uko upande wa haki wata kushinda tuu, ukimpatia babu mmoja mtaalamu hakikisha ume mnyoosha ipasavyo yani piga bila huruma mbwa hao shenziiiiiiiiiiii kabisa
 
Mwezi mchanga umekaribia nini? 1/4 ya rafiki zangu ni askari polisi, tunakunywa nao pombe tunafurahi pamoja ispokuwa endapo unavinasaba vya uizi polisi utawaona

Mwezi mchanga umekaribia nini? 1/4 ya rafiki zangu ni askari polisi, tunakunywa nao pombe tunafurahi pamoja ispokuwa endapo unavinasaba vya uizi polisi utawaona sumu kali.
Vinasaba vya uizi? Pathetic!, ndege wafananao ndio huruka pamoja, kwa kuzingatia hilo bila shaka nawewe unatabia za kisnitch, uongo, unafiki, kujifanya unajua na ubabe usio kuwa na tija. Endeleen kunywa matapu tapu
 
Polisi wana laana.
 
Huu uongo ocd ni mkuu wa police wa wilaya.ukimpiga Ocd askari wengine hawawezi kugombelezea sanasana watakutoa roho.
 
Sema urafiki uwepo ila wa kinafiki maana kuna wuda watataka rushwa kidogo kisa wanakufahamu.....😄😄😄
 
Tumetoka kwenye KATAA NDOA sasa ni KATAA POLISI.

Ila polisi sijui wana nini. Yani hata akiwa ndugu yako akajua una issue/jam flani inayoweza kukuletea kwikwi badala ya kuongea na wewe uache yeye atakulengeshea manjagu wenzake wakutoe mpunga halafu yeye huko chemba anaenda kupewa gawio.
 
Kuna demu mmoja mjeda (police) kanizimikia balaa, unataka kuniambiaje weye.!! alinikamata kosa la barabarani kutoka hapo yaani nataka kuoa kabisa kabisa maana si kwa mambo yale aisee !!
Angalia usije kujiua mwenyewe kwa wivu, wao hugegedana wenyewe kwa wenyewe na pia kuna muda wana-share...😄😄😄😄
 
Well said, na akiwa ndugu yako, uwe undugu wa mbali especially kama unabiashara zako kubwa na za halali, hawa kitika nyakati kadhaa wamehusika na mauji ya wa fanya biashara wengi, kwa kifupi niwachora ramani nyuma ya matukio makubwa ya kiuhalifu, na level yao ya ukatili haichagui ndugu wala rafiki
 
Hatimae tumetajw mwak mpyaa
PolisTz fanyein kaz mapungufu haya
 
Mtendaji wa kijiji na polisi tofauti yao ni Bunduki na mayunifomu basi!! Woote masinichi, njaa kali, shule ndogo, ubabe wa kujiami, wapumbafu, wajinga afu mbaya zaidi wanajikomba CCM utadhani kuna kitu wanawekewa hukoooo mnapopajua
 
Naunga mkono hoja zote.
Police anakututia kwenye kitanzi halafu anakaa pembeni anakukonekti na polisi wengine interm ya kukusaidia kumbe unaliwa
Ndio kawaida yao. Wakiwa na shida ya hela ya bia, Anakuchoma Kwa wenzake, kisha yeye anajipitisha , akijifanya haelewi lolote, anaingilia kujifanya anakusaidia, huku akikuambia kuwa "Hawa askari wenzangu bwana, elewana nao hawana noma". Ile Hela (rushwa) wanaenda kugawana mbele ya safari.
 
Nafikiri kuna mstari mdogo sana unao watenganisha polisi wa bongo na IQ ndogo, hawa watu niwajinga sana, ipo siku nitashusha uzi kuhusu upuuzi wa hawa watu, pumbavu kabisa
Wengi hasa Hawa wasio na vyeo ni wajinga sana kutokana na Elimu ndogo na ile hali ya kutaka kuburuza watu Kwa kuwa TU wamewazidi kipato au mafanikio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…