Kataa ndoa inavozidi kuleta taharuki

Kataa ndoa inavozidi kuleta taharuki

Hayo ya Ex na kataa ndoa watayaongelea wataalam. Shida yangu na kinachonisumbua zaidi ni huyo jamaa kupiga goti, hicho tu.
Huyo jamaa kwa ufupi ni ndezi ... .huwezi kumpigia mwanamke magoti
📌KATAA NDOA
📌NDOA NI UTAPERI
📌NDOA NI TAKATAKA
 
images (43).jpeg
 
Wanaume tuna nadharia zenye mkanganyiko sana. Unakuta mtu anatombar mke wa mtu na haoni tatizo kushea, ila mtu huyo huyo akitombewa mkewe anakwambia "Mimi siwezi kushea mwanamke".

Sijui tumeumbwaje!!
Sisi wanaume ni machizi flesh.

SELFISHER
 
Hayo ya Ex na kataa ndoa watayaongelea wataalam. Shida yangu na kinachonisumbua zaidi ni huyo jamaa kupiga goti, hicho tu.
Mbona kawaida watu waki-propose kupiga goti? Sio unyonge ni u-gentleman tu kama kumfungulia mwanamke mlango wa gari. Mambo ya kuiga western culture.
 
Cha ajabu nini hapo? Mnakuza sana mambo.
 
Mbona kawaida watu waki-propose kupiga goti? Sio unyonge ni u-gentleman tu kama kumfungulia mwanamke mlango wa gari. Mambo ya kuiga western culture.

Kumfungulia mlango sawa na hua nafanya. Hapo kwenye goti hapana, nakumbuka nilimvisha nimesimama...ndio baadae kuangalia angalia kwenye movies kumbe ilitakiwa nipige goti. Ila hata ikitokea kurudia, goti halipigwi, hiyo ni Kwa upande wangu binafsi.
 
Hayo ya Ex na kataa ndoa watayaongelea wataalam. Shida yangu na kinachonisumbua zaidi ni huyo jamaa kupiga goti, hicho tu.
Tunaiga wazungu kila kitu.
Tunakataa vya kwetu.
Mwafrika mwanaume hampigii magoti mwanamke ndiyo utamaduni wetu labda Kama anaomba msamaha kwa ndugu yake mwanamke.
 
Huwa najiulizaga sana, utamaduni huu ulianziaga wapi? Kwani ukimvisha tu Pete umesimama kuna shida gani?
Haya mambo hufanywa na wanaume toso kama mc pilipili.
Ni dalili ya awali kwamba mke amepata shost tu mwenzie.
Na mke baadae hufanya marejeo ya maamuzi yake na kumtafuta real man upya!
 
Sasa pengine huyo mke alipewa na huyo jamaa..

Mimi nilishamuachiaga rafiki angu mke ..nikamwambia jichukulia mimi nimemchoka ..
 
Back
Top Bottom