Kataa ndoa ni hazina ya kesho

Kataa ndoa ni hazina ya kesho

Kukataa ndoa ni haki yako, kuingilia za wenzako marufuku.
salaam mkuu, nakuona unavyo subiri nijibu 😂🤣🤣.
ila sio leo.
FB_IMG_17386229119764906.jpg
 
Mkuu wewe hata nikikusalimia nikupe zawadi utanigeukia na kisu tu.

Ushajiwekea kwamba mimi mshari muda wote, sijui kwa nini 🤣🤣🤣
mkuu huwa wana sema mwenye macho na aone, mwenye masikio na asikie.

siku melo aki weka option ya kuuliza kwanini mtu kakupa like, nahsi uta kuwa wa kwanza kushangilia.

ndio maana hata Kama nina hoja zangu, uki pita nazi rudisha kwenye begi🤣🤣🤣.
 
Hana baya mboyaa, na aishi sanaa kwa kweli ninampenda na namuheshimu ndio maana hanifuatiliagi
Mmmh kama umeolewa basi, maana nikikumbukaga rafiki yangu alivyokufa kizembe kisa kamla mke wa mtu, sitakagi shobo kabisa na wake za watu.
 
Hii Sera ya kataa ndoa ni Sera ya msingi na muhimu mno.

Itasaidia kuonyesha ukweli na njia ambazo vijana Wanazo Ingia Chaka.

swaga nyingi, michango, Picha kibao, halafu mwishobwa siku una Baki una Lia Lia.

maigizo, kilio, Kisi kudanganye kijana.

Mwenyekiti wa kataa ndoa ni, Liverpool VPN,
02 katibu wa kataa ndoa, dronedrake,
03. Mjumbe ni Loading failed,
04, Mimi ni katibu mwenezi wa Sera za chama Cha kataa ndoa.

KATAA NDOA LINDA MAISHA
YAKO.
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO.
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKo.
KATAA UNAFIKI WA 50/50

View attachment 2926176
nmeoa ila nawakubali sana na kama kuna michango ntatoa wanangu
 
Mmmh kama umeolewa basi, maana nikikumbukaga rafiki yangu alivyokufa kizembe kisa kamla mke wa mtu, sitakagi shobo kabisa na wake za watu.
Heee jaman, ndoa yenyewe sio kivileeee yaan tupo kama mtu na dada yake hahah
 
Inaonekana kwenye hio ndoa yenu mmepigiana matukio kila mtu Hana hisia kwa mwenzie, Sasa c muachane maana hapo ni mateso tu eety Tunda.
Ndoa zina mambo mengi, mkiachana ni shida hupati mtu lakn ukiwa kwenye ndoa watu wanakutongoza kibao hahaha,
 
Back
Top Bottom