Kataa ndoa ni hazina ya kesho

Mkuu wewe hata nikikusalimia nikupe zawadi utanigeukia na kisu tu.

Ushajiwekea kwamba mimi mshari muda wote, sijui kwa nini 🤣🤣🤣
mkuu huwa wana sema mwenye macho na aone, mwenye masikio na asikie.

siku melo aki weka option ya kuuliza kwanini mtu kakupa like, nahsi uta kuwa wa kwanza kushangilia.

ndio maana hata Kama nina hoja zangu, uki pita nazi rudisha kwenye begi🤣🤣🤣.
 
Hana baya mboyaa, na aishi sanaa kwa kweli ninampenda na namuheshimu ndio maana hanifuatiliagi
Mmmh kama umeolewa basi, maana nikikumbukaga rafiki yangu alivyokufa kizembe kisa kamla mke wa mtu, sitakagi shobo kabisa na wake za watu.
 
nmeoa ila nawakubali sana na kama kuna michango ntatoa wanangu
 
Mmmh kama umeolewa basi, maana nikikumbukaga rafiki yangu alivyokufa kizembe kisa kamla mke wa mtu, sitakagi shobo kabisa na wake za watu.
Heee jaman, ndoa yenyewe sio kivileeee yaan tupo kama mtu na dada yake hahah
 
Inaonekana kwenye hio ndoa yenu mmepigiana matukio kila mtu Hana hisia kwa mwenzie, Sasa c muachane maana hapo ni mateso tu eety Tunda.
Ndoa zina mambo mengi, mkiachana ni shida hupati mtu lakn ukiwa kwenye ndoa watu wanakutongoza kibao hahaha,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…