Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Bwashee watu wanalia na kusaga meno, kama ndoa ni tamu mbona talaka ni nyingi kila siku kuzidi hizo ndoa π π.π π π π
Nilishawahi kuwa na ndoa najua vizuri bwasheeπ πBwashee watu wanalia na kusaga meno, kama ndoa ni tamu mbona talaka ni nyingi kila siku kuzidi hizo ndoa π π.
Marriage is overrated
Mpaka hapa hujui usimamie wapi, au ndio dishi lisha yumba kaka!kuna kamsemo kanasema usipo Oa utaolewaπ€
#familia ni muhimu
Walitaka kukufanyia masacre bwashee, dah pole sana Arifu.Nilishawahi kuwa na ndoa najua vizuri bwasheeπ π
Kataa ndoa sio wabaguzi wa rangi, kabila au mali, kama una elewa misingi ya chama basi tawire.Masikini wanaruhusiwa kukataa ndoa?
familia ni muhimuMpaka hapa hujui usimamie wapi, au ndio dishi lisha yumba kaka!
Nilikata ringi hadi nikaacha kuwa na malengo kabisa ,pombe ziliniokoa tu bwashee πWalitaka kukufanyia masacre bwashee, dah pole sana Arifu.
Mimi sikatai ila pia nakataaπKataa ndoa sio wabaguzi wa rangi, kabila au mali, kama una elewa misingi ya chama basi tawire.
Naam ndoa ni kwatu sahihi, na ndoa zenye maana zilikuwa zile za watu wa 1940- 1980.Nahimiza wale wanaofunga ndoa wafunge wakiwa tayari kufunga ndoa.
Na wale wanaofunga ili waonekane wameoa na kuolewa, na wale wanaofunga huku wakipiga hesabu za zawadi na pesa wenyewe waendelee kulia wapigane matukio wapeane talaka watakuwa wenyewe.
Bwashee nyumba zina waka moto, watu wana redio za kuji tegemea full makelele π .Nilikata ringi hadi nikaacha kuwa na malengo kabisa ,pombe ziliniokoa tu bwashee π
"matatizo ambayo yasingetokea kama wasingeoana.":π π πNdoa ni makubaliano ya Mwanamke na Mwanaume kuishi pamoja au kua na mapenzi ya pamoja,mapenzi ambayo yanatambuliwa na Polisi na Mahakama,
Watu hao hukubaliana kuishi pamoja na kutatua matatizo yatakayo tokea kwenye maisha yao ya ndoa,matatizo ambayo yasingetokea kama wasingeoana.