Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

Umekariri upande huo tu naona,
Kuna watu wenye uwezo wao walikua ndani ya hizo ndoa,baada ya kutendwa wakaona ndoa ni utapeli na ni mateso yakujitakia,
Fikiria nje ya box kijana,elewa mada na comment zangu kwa akili huru.
Hajui hilo, kuna mzee jirani yangu mpaka leo ana kwambia since akiwa 40 hataki kelele za ndoa.
 
Back
Top Bottom