Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
- Thread starter
- #61
Mkuu sisi mi ni kataa ndoa, japo chaputa ni ka subsidiary ndani yetu 😅Sawa wazee wa CHAPUTA. Mna hoja. 😁
Mkuu sisi mi ni kataa ndoa, japo chaputa ni ka subsidiary ndani yetu 😅Sawa wazee wa CHAPUTA. Mna hoja. 😁
Nitumie namba yake ,tupime kama na yeye sio mcharuko😅Na wewe huenda uliotea Malaya na mcharuko
Umetisha Sana mkuu 😂Raisi wa kataa ndoa ni Liverpool VPN
Makamu wa kataa ndoa ni Natafuta Ajira
naibu makamu ni Xi Jinping
Katibu mwenezi ni Intelligent businessman
nadhani waliowahi kua ndani ya ndoa hawawezi kua na fikra kama za ambao mnakataa ndoa hali yaku hamjaawahi kuingia huko.Umekariri upande huo tu naona,
Kuna watu wenye uwezo wao walikua ndani ya hizo ndoa,baada ya kutendwa wakaona ndoa ni utapeli na ni mateso yakujitakia,
Fikiria nje ya box kijana,elewa mada na comment zangu kwa akili huru.
HaiwezekaniNitumie namba yake ,tupime kama na yeye sio mcharuko😅
Wengine tunapiga mala moja kwa wikiSawa wazee wa CHAPUTA. Mna hoja. 😁
Sijaelewa ko kama ulikuwa hanithi, wewe ndio uli olewa au ?😅Hanithi ndani ya ndoa mkuu
Haiwezekani mimi kumshawishi au wewe kutuma😅Haiwezekani
Ukweli lazima usemwe, pumba na mchele vitenganishwe😅Umetisha Sana mkuu 😂
Wengine tunapiga mala moja kwa wiki
Nilikuwa vizuri kipindi naoa then hali ikaja nikiwa tayari Nina mke na watoto na nimeponaSijaelewa ko kama ulikuwa hanithi, wewe ndio uli olewa au ?😅
Hajihamini uyuHaiwezekani mimi kumshawishi au wewe kutuma😅
Na kiufupi hauna kabisa 😅Haiwezekani
Au sio 😅Ukweli lazima usemwe, pumba na mchele vitenganishwe😅
Mzee wa kupanic sema neno😅Au sio 😅