Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

Kataa ndoa tunakemea ufungaji wa ndoa, kipindi hiki kikali cha talaka na mgawanyo wa mali

hahaha sio magumu ni vile nime jionea maajabu huku, sema una jaribu kukwepa tu.

ko una maanisha ndoa ni kama mchezo wa kamari, ucheze na amani yako, muda wako, uhuru wako ukale ndonga nzito 😅😂.
Ndoa hata sio kamari,, ni kufanya chaguo sahihi kwa wakati sahihi..

Sasa wewe ukichagua demu anakunywa brutal kumi halewi wala habanwi na mkojo!!!! Pembeni anavuta shisha inatokea mdomoni na puani huku anaruka sarakasi juu ya meza kama paka aliekosa chakula unategemea nini!!!???
Hata kwenye kamari wakamaria huwa wanamvizia muhindi wasifirisike na hujitahidi kuchagua kamari nzuri na inayofaa ili aweze kupata mpunga wake
 
Mimi namtaka wa hivi , nakumbuka niliwahi kuwa na demu mlevi tuliendana sana , walokole ni takataka kabisa🚮
 
nadhani waliowahi kua ndani ya ndoa hawawezi kua na fikra kama za ambao mnakataa ndoa hali yaku hamjaawahi kuingia huko.
Ndio unatakiwa uache kujadili jambo usilolijua kwa kudhani,mpaka hapo umejionyesha kua unachangia mada kwa kudhani tu na sio kwa kujua,

Nani kakwamia kua mimi nakataa ndoa? mimi sasa hivi nalea wajukuu Bwashee,ninachokipinga mimi ni hizi sheria za ndoa hasa kwenye issue ya talaka,zinazomkandamiza Mwanaume zaidi.
na wengi hujifanya wanakataa ndo kumbe hawana uwezo wa kua kwenye ndoa
Ndoa ni zaidi ya kua na uwezo kijana,kuna matajiri wengi tu wameingia kwenye migogoro na ndoa zikawashinda na hawana tena hamu ya kurudi huko.
 
Back
Top Bottom